Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

shanature

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,302
910
habari zenu

kifupi nimekutana na msala huu.

Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili.

Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja.

Ila wasiwasi wangu ni umadhubuti wake kwa mtu mwenye uzoefu na hilo ni bora kununua tube housing nzima au hicho kipande na ubora pia uzingatie uchumia9kwmba ni jambo la kawaida au ni jambo hatarishi).

IMG-20240110-WA0000.jpeg
 
Hiyo bado ipo vizuri kama unataka utoe hizo bolt zilizo chomelewa na kuweka nyingine peleka RECCO ENGINEERING Pale Keko hata bearing wanatoa wanatumia machine za kisasa.

Budget kama unayo ya kununua kacheki Used pale Temeke mwisho au Ilala.
 
shida ni hio iliyopigwa welding sio zilizokatikia hizo huwa zinatolewa...kipaja au stable hapo palipochomwa ni nat inazuia bering ndanihilo tobo inaingia excel(driving shaft)
 
Attachments

  • IMG-20240110-WA0000.jpg
    IMG-20240110-WA0000.jpg
    578.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom