Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba za sasa.
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .
jamani tukae na kujiuliza nini haswa kitufanyacho tucheze pira la ngumbaru wakati wenzetu wote hata Namibia wako gawiza sana kiuwezo wa ufundi .