Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Sijafuatilia huu mjadala,nilikuwa off-line siku chache. Hili wazo la 4R sikuipata,ni nani mwanzilishi wake?
Ni wazo la Ikulu? Ni wazo la Rais Samia?
Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuilding.
Ni falsafa imetoka wapi? Is it capitalist political theory,au socialism,au imetoka katika Sunnah? Tuna matatizo ya wanasiasa ambao sio waaminifu,wafanyabiashara ambao ukizubaa wanakuchaji jela nyingi, raia ambao wana manung'uniko mengi kuhusu viongozi,wakati wao wenyewe (raia) siyo wasafi. Au matatizo yetu (kama taifa)ni nini?
Mi nashangaa kuhusu wale boda bara waliokuwa wanamkokota mtu kwenye lami wiki iliyopita. Mi nadhani dini ngiyo inaweza kutuokoa::kama jana nilikuwa nasoma kitabu cha dini, Maliki, Hanafi, Shafii, Hanbal; tukimtumainia Mwenyezi Mungu, ndiyo salama yetu.
Watanzania wanataka kuona nidhamu katika kazi ya serikali. Watanzania ni watu wa nidhamu. Ama sivyo serikali ingeweza vipi kufanya mkataba na DP World? Au kuhamisha Wamasai Ngorongoro?
Dr Slaa na Wakili Mwabukusi wamejaribu kuwafanya wananchi waandamane lakini wameshindwa kabisa,kwa sababu wananchi wana nidhamu. Ishara zozote za kuonyesha kwamba viongozi hawana nidhamu italeta mtafaruku.
Kama ukisema fedha za mradi wa Bwawa la Nyerere zimeibiwa au fedha za SGR zimeibiwa. Halafu watu wanatoa ushauri hata katika ambazo diyo zao. Kwa mfano, Diamond Platinum ni mwimbaji lakini baadaye utamuona anakushauri kwamba dawa ya meno ya pepsodent ndiyo inakufaa.
Kwa hiyo utaona mwanasiasa amepata mafanikio makubwa katika kukutengenezea barabara, kujenga zahanati, kujenga madaraja, na nini tena sijui, lakini baadaye anataka akufundishe kuhusu maadili; kuhusu sijui, uvuvumilivu na ustahamilivu.
Umeona ule mkutano walikuwa wanafanya juzi; yule kigogo wa Chadema alikuwa analalamika kuhusu wale wabunge 19: kulikuwa na uvumilivu gani pale? Muhimu ni uzalendo. Raia lazima aipende nchi kuliko anavyojipenda mwenyewe. Kama unadhani uzalendo,hiyo ni makosa.
Ukichunguza maisha yako,utaona kwamba matatizo yako yote yalisababishwa na ubinafsi. Hakuna siku uli0ata matatizo kwa ajili uliwajali wengine kuliko nafsi yako. Ubinafsi ndiyo chanzp cha matatizo yako na pia ndiyo chanzo cha matatizo ya nchi hii.
Lazima tuwe na nidhamu. Halafu nidhamu siyo ukatili. Yule mtu katili hana nidhamu. Au tuseme hivi, adhabu lazima ilingane na kosa.