nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

    Maalumu kwa fans wa Ucheshi. Picha zao hizi hapa
  2. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

    Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema, "Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Badru Vs Kashimba, nani mtendaji zaidi?

    Hawa wote wameongoza taasisi ambazo malalamiko hayakomi dhidi ya Taasisi hizo. Badru amwewahi kulalamikiwa sana kuhusu utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Huyu amekuwa akilindwa sana na Sheria husika kwani haina hata utaratibu wa kujua kwanini wengine huwa hawapati mikopo. Badru...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Aliyewaambia Contemporary House niza Gharama Nafuu ni nani?

    Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga! Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary House" niza gharama nafuu? Zile nyumba usipokuwa na pesa nakwambia utadhalilika na hakika utakuwa mmoja...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ibrahim Class (King Class Mawe) na Hassan Mwakinyo Champez (Colorado King/Tornado) nani anafaa kuwa Pound for Pound namba 1 hapa nchini?

    Ibrahim Class anacheza uzito wa super feather wakati Hassan Mwakinyo anacheza uzito wa light middle weight. Je kama wangekuwa kwenye uzito sawa unahisi nani angeshinda pambano? Kwa upande wangu mimi binafsi naona Ibrahim angeshinda pambano ,na kwangu ndio Pound for Pound namba 1 hapa bongo na...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

    Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
  9. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi? Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

    Picha za kusindikizia uzi hizi hapa Uzi tayari! N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa muziki wa zamani, ni nani huyu??

  12. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

    Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe. Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika. MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI. Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

    Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha namna cement inavyotumika kutunyonya; serikali mpo kimya kwa manufaa ya nani?

    Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa Sh20,000. Katika kila kilo moja ya saruji serikali inachukua kodi ya Sh20. Hivyo katika 50kg ya saruji kodi ya serikali ni Sh1,000 (5%). Kiwandani Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa kwa wastani unaoanzia Sh11,000...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huyu ni nani amefunga goli Merseyside Derby, El Classico & Manchester Derby?

    Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania. Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ikiwa huna mtoto ni Nani atakuuguza siku ukiwa hoi?

    Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP. Ni muhimu tujiulize hasa kundi la vijana la kataa ndoa,team chaputa,UWABATA for life na wale wa kutoa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana . Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
Back
Top Bottom