nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Habar Kama mada ilokuepo juu nahitaji mwanamke wa kuchat nae
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada. Nadhani nina tatizo, hii si hali ya kawaida

    Ni miaka mingi sana kuna jambo nikiona mwanamke anafanya nachanganyikiwa kabisa. Na huwa napenda sana linanisisimua sana mwili. Napenda sana kumwona mwanamke anakojoa. Yaani kama ni mpenzi wangu nitataka achuchumae akoje nimwone huku nashika shika mkojo wake. Halafu nimnawishe. Au kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

    Mambo vipi wanajamvi. Naombeni ushauri wenu wataalam wa sim za mkonini. Kwa bajeti hiyo sim ipi itanifaa?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
  6. secretagent

    JamiiForums Tanzania Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sas nifanye?

    Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sasa nifanye nini wakuu sielewi sehemu ya kuanza nahitaji muongozo
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukidownload MB 10, Matumizi ya Data yanaonyesha kifaa kimetumia MB 12.

    Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo. Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo. Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,, Hii ni...
  8. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba

    Sina uzoefu wowote katika ujenzi naomba msada wenu. Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha. Location yangu ni DSM Mbezi Mwisho.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vyuo vinavyotoa courses za certificates Kwa ada nafuu

    Wakuu nisaidieni hili
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuonana na watu hawa ili roho yangu ipone

    To yeye Nakubusu Bujibuji Simba Nyamaume GENTAMYCINE Mshana Jr Pascal Mayalla Nazjaz Sky Eclat Skylar Maxence Melo Santos06 UMUGHAKA Unique Flower Miss Natafuta bm x6 Jemima Mrembo Baba Swalehe litutumbwe
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

    Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo. Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  13. Tanziti

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa programming

    Nahitaji mtu mtaalamu wa kutengeneza website pamoja na APP awe mbobezi na mwenye uzoefu wa kutosha kama upo tayari wasiliana nami kupitia whatsapp namba 0685451700 Asante.
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    INTRODUCTION Mimi ni mwanaume Nina miaka 33 Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3. SCENARIO Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa. Binti wa pili. Huyu ndio nahisi...
  15. Mahrez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  16. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua uwezo wa umeme wa 3 phase wa Tanesco

    Kutokana na shughuli zangu za mashine mbalimbali za kuchakata mazao.Nilifungiwa umeme wa 3 phase.Ambao kwa wakati mmoja unaweza kuendesha mashina tatu mashine moja ya alizeti ina mota yenye ukubwa kama.mota za mashine za kusaga na.mashine nyingine 2 zina mota ndogo zisizozidi 2Kw.Motor zote ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji used stabilizer Watts 10,000

    Wakuu, nina uhitaji wa kifaa hicho kiwe ktk ubora ambao bado kinaweza kutumika kuendeshea mashine, kwani nimekutana na changamoto ya umeme pungufu kwenye shughuli yangu. Weka Bei na picha, karibu imbox
  18. Jeff

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya. Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili...
  19. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps3 na ps4 used

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza. Hivyo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kuku kwa bei rahisi

    Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania. AHSANTENI
Back
Top Bottom