nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji desktop ya kununua

    HABARI ZA MCHANA, MWENYE DESKTOP ANAUZA NZURI INAFANYA KAZI, NIPO DAR ES SALAAM. OFFER YANGU TSH LAKI 1.
  2. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nahitaji anayeuza fremu za biashara

    Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi katika duka, kiwanda au supermarket

    Ndugu zangu habarini, Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.
  4. kwetumasoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Wana MMU, heshima kwenu. Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya. Umri...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenyeji mbeya wakunipokea

    Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya . Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri. Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu. Good night
  6. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  7. Scaboma

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
  8. EngFDM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete.

    Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete. Aweze kunipa mahitaji ya vifaa na gharama za ufundi. Picha ya mfanano nai attach It is Urgent.
  9. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua formula za kucheza draft

    Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cheti cha COVID-19

    Habari ndugu wana Jf! Naomba kufahamishwa wapi nitapata cheti cha COVID-19 kwa haraka , nipo Dar es salaam. Asanteni.
  11. Sirai

    JamiiForums Tanzania Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

    Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter. Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
  12. Visionery

    JamiiForums Tanzania We are looking for sales person and sales commission agent for a home appliances retail shop

    To all, We are looking for sales person and 3 sales commission agents for home appliances retail shop Duty station:Ilala manicipal in Dar es salaam. Roles for sales person: 1. Welcoming and explain products to the walking in customers who visit our store or social platforms pages. 2. Open a...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  14. Mtanzania Mnyonge22

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Habari Wakuu, Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi. spinal sapphire aquamarine tourmaline Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
  15. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli : Nahitaji mnisaidie wakuu

    Habari za muda huu wakubwa Itaendelea
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwalimu wa Tuition STD 4 - Mbweni Malindi

    Habarini Wakuu Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4. Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam siyo chini ya mara 3 kwa wiki. Kwa mawasiliano 0625536529. Asanteni
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shughuli yoyote mkoani Iringa

    Wakazi wa Iringa mjini kwa yoyote mwenye nafasi au anajua sehemu ambayo naweza kupata nafasi ya shughuli yoyote hapa Iringa mjini kama kubeba/kupanga mizigo godown/store, kibarua shambani kwa kipindi hiki cha kilimo, cash wash, kujaza mafuta sheli, kuuza duka/stationary, uhasibu, huduma za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza

    Habari zenu wakuu, Nahitaji shamba linalouzwa Kibaranga, Muheza nijuwe ukubwa na bei. Unaweza nijibu hapo or kwa private. Nashukuru
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
Back
Top Bottom