Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 199
Habarini wana Great Thinkers,
Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya.
Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili tuweze kuzungumza.
NB: Naomba kuuliza pia hizi siku 45 wanazotoa baada ya hukumu kuwa inatakiwa rufaa ifunguliwe kabla ya siku 45 kupira. Je, zinahesabiwa tokea siku ya hukumu ya kesi au inahesabiwa baada ya hakimu kusaini file la kukata rufaa?
Wasalaam