MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

Mahrez

Member
Apr 29, 2023
17
20
Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo.

Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani.

51xbj3zITKL.jpg
yasakilube-200x200.jpg

Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi

Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa ushirikiano wenu wana-JF.
 
Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo.

Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani.

View attachment 2607550View attachment 2607552

Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi

Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa ushirikiano wenu wana-JF.
Agiza Dar au Zanzibar

Pia kama unatumia engine ya Yamaha 2 stroke ni vyema ukatumia Yamalube ndio offical lube ya Yamaha
 
Zanzibar maeneo gani sikai mda mrefu naenda mara kwa mara {ni nyumbani}

Nahitaji hizo kwa ajili ya kuwauzia wavuvi wanàochanganya kwenye petrol nina chimbo langu maeneo flani
 
Zanzibar cheki kwa jamaa wanaoleta Lubricants za kutoka Dubai.

2-Stroke jaribu kuwauzia na brand tofauti zipo nyingi sana mkuu ambazo ni recommended kwa hizo outboard engine
 
Ok nmejaribu kukufata kule pm lakini naona mambo hayajakaa sawa

Tatizo ni kujua nikienda mtaa flani au kwa mtu flani naweza kupata na jana nimesafir nipo unguja mda ingekuwa vizur kama utanielekeza wapi nianzie
 
Ukiwa hapo Darajani muulize mtu yeyote kwenye duka au hao wa hapo Bandarini. Akutajie waagizaji wa oil za pikipiki na magari kutoka Dubai

Namba na jina lao nilikuwa nazo sijui nimepotezea wapi
 
Poa ndio naelekea hivi kisha nitakupa mrejesho
 
Back
Top Bottom