nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nahodha wa boti ya uvuvi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95. Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu...
  2. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription

    Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription kwa gharama nafuu maana bado ni biashara changa
  3. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

    Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya kuuza sukari kwa ujumla

    Wandugu habari za siku, Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu?

    Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kike anayejiamini

    Nahitaji mwanamke aliyesoma/ mfanyabiashara/ anajitegemea/ mwenye cheo chake. Miaka 26 - 35. Nipo Dar, nimejiajiri. Kiongozi na mtawala. Cuddling expert. Nimetembea mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k. Napenda kucheka, kuchangamka, kufurahi na kuchombezana. Furaha yangu...
  7. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ukweli juu ya hili suala kwakuwa nimesikia likizungumziwa sana

    Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha.... Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi...
  8. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wako. Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha hii. Yeyote anaejua kuzungumza kwa ufasaha. Naomba a-comment neno "AM IN".. nami nitamrukia Pm...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Desktop ya kununua

    Habari za jioni, Nahitaji Desktop Ya kununua , Nipo Dar Es Salaam. Offer Yangu ,Tsh Laki 1
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji desktop ya kununua

    HABARI ZA MCHANA, MWENYE DESKTOP ANAUZA NZURI INAFANYA KAZI, NIPO DAR ES SALAAM. OFFER YANGU TSH LAKI 1.
  11. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nahitaji anayeuza fremu za biashara

    Ndugu zangu nahitaji anayeuza fremu za biashara hata kama nyumba ya nyuma utabaki nayo (Kama ipo) eneo lililochangamka Aniuzie fremu tu za biashara niwe nazipangisha na kufanyia biashara zangu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi katika duka, kiwanda au supermarket

    Ndugu zangu habarini, Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni ndugu zangu mnisaidie ambae ana connection ya kazi anibebe.
  13. kwetumasoko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Wana MMU, heshima kwenu. Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya. Umri...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenyeji mbeya wakunipokea

    Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya . Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri. Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu. Good night
  15. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  16. Scaboma

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
  17. EngFDM

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete.

    Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete. Aweze kunipa mahitaji ya vifaa na gharama za ufundi. Picha ya mfanano nai attach It is Urgent.
  18. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua formula za kucheza draft

    Wakuu habari za usiku.. Naomba niende kwenye swali moja kwa moja. Mimi nimetokea kuupenda sana mchezo wa draft lakini sasa sijajua namna ya kuucheza vyema. Je draft inaformula yeyote ambayo ukiifuata unakua mchezaji mzuri?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji cheti cha COVID-19

    Habari ndugu wana Jf! Naomba kufahamishwa wapi nitapata cheti cha COVID-19 kwa haraka , nipo Dar es salaam. Asanteni.
  20. Sirai

    JamiiForums Tanzania Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

    Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter. Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
Back
Top Bottom