buildings tanzania
Member
- Mar 14, 2023
- 26
- 108
Wakuu Habari,
Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu.
Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%.
Nahitaji partner wakushirikiana nae katika utekelezaji hasa kama ana uzoefu wa biashara hii ya dhahabu na pia katika ku-share mtaji.
Dhahabu tutaitoa katika migodi ya Tanga au Shinyanga, Tanga Kwa gram moja ni 125,000 tu na Kwa upande wa Shinyanga gramu ni 110,000 tu. Kwa hapa Dar last week sokoni bei ilikua inaenda hadi 146,000 so utaangalia kuna profit kiasi gani.
At least tutachukua gram 15 ili kuzuia hasara inayoweza kusababishwa na gharama za usafiri, sehemu ya kufikia katika maeneo yote Kwa Tanga na Shinyanga ipo
Karibuni wadau.