Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
131
Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.

Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and calls, it was romantic katika kila aspects.

Bahati mbaya mahusiano yetu ni long distance, mimi nipo Dar but yeye yupo mkoani Kanda ya Ziwa ameajiriwa huko.

Hatujawahi kuwa na mgogoro wa ku cheat, kwa maana ya hakuna aliyewahi kukutwa au kugundulika kama ana mahusiano ya nje, zaidi ni small conflict za mda mfupi tu.

But nowadays kuna mabadiliko sana, yaani hasa kwenye jinsi ya ku chat via messages, yaani si enjoy kabisa, anajibu text short, hataki story ziwe nyingi kwenye chats, sometimes hata calls zangu hazim-excite kabisa mkianza kuongea. It is not romantic anymore hasa kwenye chats and calls.

Sasa sijui shida ipo vipi? Maybe kuna tabia za wanawake bado sijazi understand. Ananionesha kuwa ananihitaji always, yupo tayari tufunge hata ndoa. Niliwahi kumtishia kuachana akaniomba radhi sana tuendelee. In fact, still kuna vitu anafanya vinaonesha still bado ana malengo namimi.

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, kuna muda nawaza nitafute mtu huku Dar nianze nae maisha kwakuwa siienjoy kabisa kwenye kuwasiliana na mtu wangu, lakini uamuzi huo siutaki kwakuwa bado nampenda na hajanipa sababu kubwa za kuachana na sina evidence kama anacheat.
 
Shida ni kuwa unamuonyesha unamuhitaji kuliko anavyo kuhitaji, ni kawaida ya binadam ukimthamini sana kupita kawaida yeye anakutoa thamani yako.

Sasa kuwa bize na maisha yako, tengeneza maisha yako acha kuwekeza nguvu nyingi kwake ili usije ukapoteza kote akiona uwepo wako umepungua kwake na yeye atakumiss kama unavyo mmiss sawa man?

Halafu achana na hizo mambo wanawake ndo wanatakiwa walalamike kuwa mwanaume anajibu shortcut na siyo wewe
 
Habari zenu ladies and gentles

Natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo...
Mna mpango gani katika uhusiano wenu? Maendeleo katika mahusiano yasichukue muda mrefu sana, yanakatisha tamaa.
 
Nina mpango wa kumuoa hata kesho endapo kusipotokea kipingamizi cha aina yoyote, na yeye ukiongea nae anaonekana yupo tayari kwa hilo.
 
Mdogo wangu miaka 3 mahusiano?

Afu bado unataka treatment kama mmeanza juzi?

Mimi kaka yako nasema huyo mwanamke anakufaa, ila unamtia kwenye majaribu jibu ni moja tu kwanzia sasa owa mtimize mipango yenu na marengo yenu ya muda mreeeefu au muache aolewe sehemu nyingine.

NB: Usitafute usahihi sana yule sio malaika, hata chakula kitamu kikikaa sana huwa kinachacha
 
Mahusiano miaka 3🤣🤣🤣👋

Tayari ameshagraduate First Degree👩🏻‍🎓👩🏻‍🎓👩🏻‍🎓

Still unalalama kuhusu Chat’s 🙆

Ukweli ni kwamba anakupenda..Ila ameshaanza kuzinduka kua unampotezea mda amechoshwa na hadithi zako za Ndoa feki ata ivyo ana subra sana lol..soon atakupotezea mazima afocus kwa Mwanaume mwenye kuitambua thamani yake sio wewe unaemtumia bila malengo..akizeeka unamdump🗑

Usiendelee kumpotezea muda muache aende kwa alie sahihi kwake💊
 
Mdogo wangu miaka 3 mahusiano?
Afu bado unataka treatment kama mmeanza juzi?
Mimi kaka yako nasema huyo mwanamke anakufaa, ila unamtia kwenye majaribu jibu ni moja tu kwanzia sasa owa mtimize mipango yenu na marengo yenu ya muda mreeeefu au muache aolewe sehemu nyingine.

NB: Usitafute usahihi sana yule sio malaika, hata chakula kitamu kikikaa sana huwa kinachacha
Ahsante sana
 
Habari zenu ladies and gentles

Natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo...
Ameshapata danga la GGM huyo na hizo romantic patterns amezihamishia huko.
 
Habari zenu ladies and gentles

Natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.

Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikua naenjoy chats and calls, it was romantic ktk kila aspects.

Bahati mbaya mahusiano yetu ni long distance, mimi nipo dsm but yeye yupo mkoani kanda ya ziwa ameajiriwa huko.

Hatujawahi kuwa na mgogoro wa ku cheat, kwa maana ya hakuna aliyewah kukutwa au kugundulika kama ana mahusiano ya nje, zaidi ni small conflict za mda mfupi2.

But nowadays kuna mabadiliko sana, yaani hasa kweny jinsi ya ku chat via mgs, yaani si enjoy kbsaa, anajibu text short, hataki story ziwe nying kwny chats, sometimes hata calls zang hazim excite kbsa mkianza kuongea. It is not romantic anymore hasa kweny chats and calls.

Sasa sijui shida ipo vip? Maybe kuna tabia za wanawake bado sijazi understand. Ananionesha kuwa ananihitaj always, yupo tyr tufunge hata ndoa, niliwah kumtishia kuachana akaniomba radhi sana tuendelee. In fact still kuna vitu anafanya vinaonesha still bdo ana malengo namimi.

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, kuna mda nawaza nitafte mtu huku dsm nianze nae maish kwakua sii enjoy kbsa kweny kuwasiliana na mtu wangu, lkn uamuz huo siutaki kwakua bado nampenda na hajanipa sababu kubwa za kuachana na sina evidence kma ana cheat.
Dogo wanawake ni watu wa hovyo sana , tafuta Hela achana na wanawake ,utakuja kunishukuru
 
Sometimes kwenye mahusiano ya muda mrefu romantic chart inafika wakati inapungua sababu mnakuwa mmeshazungumza kila kitu yani mmemaliza mambo yote kwenye charting kunakuwa hakuna jipya unless otherwise uwe mbunifu wa kuweza kuibua mada mpya....sasa mwenzie yupo onestep ahead ameona huna jipya ndio maana amechoka
 
Habari zenu ladies and gentles

Natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.

Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikua naenjoy chats and calls, it was romantic ktk kila aspects.

Bahati mbaya mahusiano yetu ni long distance, mimi nipo dsm but yeye yupo mkoani kanda ya ziwa ameajiriwa huko.

Hatujawahi kuwa na mgogoro wa ku cheat, kwa maana ya hakuna aliyewah kukutwa au kugundulika kama ana mahusiano ya nje, zaidi ni small conflict za mda mfupi2.

But nowadays kuna mabadiliko sana, yaani hasa kweny jinsi ya ku chat via mgs, yaani si enjoy kbsaa, anajibu text short, hataki story ziwe nying kwny chats, sometimes hata calls zang hazim excite kbsa mkianza kuongea. It is not romantic anymore hasa kweny chats and calls.

Sasa sijui shida ipo vip? Maybe kuna tabia za wanawake bado sijazi understand. Ananionesha kuwa ananihitaj always, yupo tyr tufunge hata ndoa, niliwah kumtishia kuachana akaniomba radhi sana tuendelee. In fact still kuna vitu anafanya vinaonesha still bdo ana malengo namimi.

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, kuna mda nawaza nitafte mtu huku dsm nianze nae maish kwakua sii enjoy kbsa kweny kuwasiliana na mtu wangu, lkn uamuz huo siutaki kwakua bado nampenda na hajanipa sababu kubwa za kuachana na sina evidence kma ana cheat.
Kwanza tujue ni online dating au kinyume chake. Tofauti na hapo tutakupa ushauri ambao unaweza usikusaidie
 
Back
Top Bottom