Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,741
- 17,993
Namuhitaji mke ambaye Yupo tayari kwa ndoa na siyo utani. Kama Yupo aje PM. Vigezo:
1. Umri usizidi miaka 30
2. Mkristo
3. Awe anapenda ujasiriamali
4. Mweusi na Mnene
5. Asiwe amesomea kozi za sheria
6. Awe na utayari wa ndoa, Asiwe na tamaa
SIFA ZANGU
1. Mkristo
2. Muajiriwa sekta binafsi. Napenda ujasiriamali
3. Umri: miaka 28
4. Mweusi, mrefu kiasi na mwili wa wastani
Karibu pm