Natafuta chumba cha kupanga Mwanza Mjini

socha

Member
Nov 25, 2015
42
24
Habari wanna jf...

Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
 
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri
Eti usiwe dalali.
Madalali hatuzuiliki toka zama za Yesu na Mtume Muhammad tulikuwepo.

Tunakula kwa akili
 
Habari wanna jf...

Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
Kuna chumba mtaa wa rwegasole ila tsh50,000/= ni self na kachumba kadogo ambacho waweza tumia kama jiko njoo pm tuwasiliane
 
Habari wanna jf...

Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
Anaetafuta ni ke au Me?
 
Back
Top Bottom