mwanza

  1. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wazee waitikia wito wa uhakiki mafao

    Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
  2. Mkogoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  4. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwanza Mjini

    Habari wanna jf... Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
  6. yasini jawadu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

    Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji...
  8. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwanza, wapi nitapata KYB Shocks? Genuine and New?

    Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma). Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads. Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la Mwanza, nitapata duka gani?
  9. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

    Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma. Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

    Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi
  11. Matope

    JamiiForums Tanzania Mamlaka tunaomba zitusaidie, daladala za Mwanza zimezidi kuwekewa ‘Tinted’

    Habari Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida...
  12. KGARE

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  13. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Jiwe Lililoko Kamanga Fery Jijini Mwanza Libadilishwe jina Kutoka Bismack Rock na kuwa Muujiza wa Mwanamalundi

    Wakuu, Hili ni bandiko la ushauri kwa mam;laka husika lakini kuwekwa kwenye mjadala kuhusu jiwe kubwa la aina yake ambalo linatumika kama utambulisho wa jiji la Mwanza. Jiwe hili liko pembezoni mwa mwa ufukwe wa ziwa Viktoria karibu na feri ya Kamanga na sambamba na barabara ya Nasser...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nawauliza Viongozi wa Jiji la Mwanza

    Hata kama sio viongozi mliopo hivi sasa kwenye ngazi ya uongozi wa Jiji, swali hili linawahusu na ikiwapendeza jaribuni kulifikiria na kulifanyia kazi, kubadili au kupunguza heshima kubwa anayopewa kiongozi huyu kwa kutambuliwa kwa hadhi asiyoistahili kwa uongozi wake hapa nchini, Afrika...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza mwanza

    mwanaume Nina miaka 38 natafuta mwenza awe mwanza umri miaka 24 nakuendelea 0685104379
  16. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania It is stupid to compare Mwanza to Mombasa

    Mwanza is comparable to Kisumu and Nakuru. Anyone who compares Mwanza to Mombasa has a big problem with his head.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na kukipigania. Kwahiyo, kutokana na haya yanayojiri, Wahisani wataona huu ni upuuzi wa kiwango cha SGR na...
  18. micind

    JamiiForums Tanzania Tunakata Belo Mwanza

    Karibuni wale wa Mwanza jumatatu kuanzia saa tano asubuhi nakata Belo la bwanga za design Kama hii kwa 6000 rejareja na 5000 ukichukua kuanzia 10. Tupo kiloleli Mwanza ulipokua mnada zamani. Tuwasiliane 0684190026
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza, Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri. Karibuni sana.
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Back
Top Bottom