Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,518
- 217,784
Mratibu wa Red cross Mkoa wa Mwanza amesema kwamba hakuna mtu yeyote aliyezimia akishikilia mfuko wake mkononi wakati wa kuaga mwili wa Dr Magufuli Mkoani humo.
Bali kilichotokea ni kwamba maofisa wa Red cross walikuwa wanawavisha mifuko ama mikoba yao mikononi waombolezaji hao waliozimia ili kulinda mali zao.
Ufafanuzi huu wa kishindo umetolewa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Redio Clouds .
Pia soma: Hivi inawezekana mtu kuzimia na kuendelea kushikilia mfuko aliobeba?