mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Paul Kimiti: Utaratibu wa mtu mmoja kutembea nchi nzima kufuatilia matatizo ya watu hauwezi kufanikiwa

    Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

    Kwema Wakuu! Sijui anatumia uchawi gani. Sijui anatumia mbinu gani za kimedani. Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja. Kama ni riadha za siasa tunasema Makonda angeshatangazwa ndiye Mshindi kwa sababu tangu aingie kwenye...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kila anayetetea Haki, Amani, Umoja na Maendeleo Automatically anaungana na Chadema hata kama sio Mwanasiasa

    Ndugu zangu habari za leo. Imefahamika hivi sasa kila anayetetea haki na amani ndani ya Nchi hii anaonekana kwenye jamii kama vile ni Mwana chadema. Hii inatokana na Chama hicho kuwa na misingi ya kuunganisha watu wote wenye mapenzi mema na Nchi hii. Misingi hiyo imejengwa kwenye Haki...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Anapotenguliwa mtendaji na mwanasiasa asibaki!

    Kwa maono yangu naona wanaoumia na kuumizwa ni watendaji wa Serikali pekee huku wanasiasa wafanya figisu wakiachwa wanapeta. Ndugu Makonda unapoita katika ziara yako muhimu ya kichama hakikisha kuwa utumbuaji hauishii kwa watendaji wa Serikali pekee bali kamati nzima ya Siasa. Iwapo kuna...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Kati ya Hawa ni yupi alivutia zaidi utendaji wake wa kazi kwa mwaka 2023. 1. Mwigulu Nchemba 2.Hussein Bashe...
  8. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa Nchi Hii akikwambia Usiku Mwema Inabidi Uchungulie Nje kuhakikisha

    Waongo waongo sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usidharau kinachotamkwa na mwanasiasa, hakuna bahati mbaya kwenye siasa

    Leo ninaandika nikiwa na mawazo mengi sana mchanganyiko. Kwanza nimeshtushwa na hili ongezeko la watu wanaoniita Anko/Mjomba badala ya kaka. Hii inaashiria nini kwa mimi kijana mdogo wa CCM mwenye miaka 38? Wakati nikitafakari hilo nikashtuka kuona mvi kwenye ndevu nilipojitazama kwenye kioo...
  11. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa JWTZ usifanye jukumu hilo kama mwanasiasa

    Miaka ya nyuma hili jeshi ilikuwa ni nadra sana kusikia wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari, na ikitokea kutoa taarifa basi itakuwa ni taarifa ambayo ni nzito sana na kila mwanachi anakuwa na shauku ya kuisikia. Pia walikuwa wakitoa taarifa au tamko basi ni mara moja na hutaona wakirudia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anapuuzwa sana

  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Friends and Enemies... Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia. Sheikh MAZINGE ameendelea kusema kwamba wengine ndani ya nchi hii walikuwa wakimbizi wakaihama nchi pasipo...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mdude ni mwanasiasa mzuri wa upinzani aliyepuuzwa na chama chake

    Tukisoma Biblia tunaona kwamba hata Mwenyezi Mungu wakati anachagua Manabii, Mitume na watu wa kufanya kazi zake hakuwa akichagua watu legelege na waoga. Nabii Musa kwenye ujana wake aliona ndugu yake anaonewa na Mmisri akachukia na kumpa kipigo hadi kumuua yule Mmisri kisha kumfukia. Yakobo...
  16. Chetikungu

    JamiiForums Tanzania Ezekia Dibogo Wenje anajua sana, ni mwanasiasa Smart

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua na anajua tena. Jamaa akiwa anaongea unaona hadhira wanatulia kama wamemwagiwa maji, anajua jinsi ya...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa Kenya, George Wajackoyah adai aliwekewa zuio kuingia Tanzania, atoa siku 7 apate maelezo

    Mwanasiasa wa Kenya na kiongozi wa Chama cha Roots, George Wajackoyah amedai kuwa licha ya kuruhusiwa kuingia Tanzania siku mbili zilizopita akiwa mgeni wa CHADEMA, alinyanyaswa na mamlaka upande wa Tanzania. Anadai akia Arusha alizuiwa muda mrefu kwa kile alichoambiwa kuna zuioa la yeye...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

    Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022. Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

    Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu. Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko mwanasiasa asiye na kiburi

    Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi. Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza Wizara nyeti Maisha yake ni ya kawaida wakati mwingine tunakumbana naye kwenye daladala. Ana heshima...
Back
Top Bottom