mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wapo CCM huwezi kuwa chama cha upinzani Afrika ukajiita Mwanasiasa. Wewe ni mwanaharakati tuu

    Salama kabisa! Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa kuelewa MUKTADHA WA mtu kuwa mwanasiasa na kuwa Mwanaharakati. Kwa mazingira ya nchi nyingi za...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana. Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
  7. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Mzee makongoro nyerere ndieo mwanasiasa pekee Tanzania ninaeweza kufuatilia hotuba zake bila kuchoka

    Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati. Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola. Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  10. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

    Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa. Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dr Michael Kadeghe - Msomi, Mwekezaji na Mwanasiasa nguli

    Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima. SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
  12. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzazi/Mlezi, Ungependa Binti yako awe Mwanasiasa?

    “Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mwanasiasa gani Mwanamke wa Tanzania ambaye unavutiwa na Utendaji Kazi wake?

    Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya. Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali. Je, ni yupi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, demokrasia kipindi hiki imekuwa zaidi kuliko huko nyuma, acha kujitoa ufahamu

    Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli. Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data. Kuna utofauti mkubwa...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

    Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania. Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi (85%)wanawaza kujinufaisha wao kwanza

    Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu. 2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi). 3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mwanasiasa aliyerushiwa mishale mingi na "makamanda" akapambana ndani ya upinzani huku wale waliokuwa wakijifanya makamanda wakienda CCM

    Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM 1. Petrobas Katambi 2. Lijualikali 3. Silinde 3. Peneza 4. Mashinji 5. Peter Msigwa Wengine wakasaliti chama waziwazi...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ni waongo, lakini si kila mwanasiasa ni muongo

    Elezea mtazamo wako kwa kutumia mifano ya wanasiasa maarufu.
Back
Top Bottom