mwanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanasiasa makini kama Freeman Mbowe kwa sasa

    Nimekuwa nikimfuatilia tangu akiwa bungeni, kub na katika siasa na matukio mbalimbali hapa nchni, nimejiridhisha kuwa ni mtu mwenye hekima, akili na busara kuliko mwanasiasa mwingine hapa nchni kwa sasa. Hababaiki, hababaishwi, hana hamaki, ni mtulivu kwa hali zote. Watu wa aina hii ni adimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

    Majibu yenu Great Thinkers ni Muhimu.
  4. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Acheni kumfuatilia Polepole ni mwanaharakati siyo mwanasiasa

    Great thinkers, Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi lazima awe mwanaharakati, yaani yeye akipiga maneno ndiyo kula yake hiyo, yaani hana tofauti na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mwanasheria mahili sana ila sio kiongozi wala mwanasiasa mzuri

    Nikiri wazi mimi nimekuwa muumini wa siasa za upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kwa hiyo haya maoni sio kwa sababu ya chuki na wapinzani. Sina historia yoyote inayomuonyesha lisu kama kiongozi anayeweza kuwaunganisha watu kwa busara na hekima zake. Mara zote...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yoyote kuwa na kesi ya kujibu sio kuwa na hatia. Tutambue na kuelewa 'legal issues'

    Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana. Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki basi huyo aliyeshitakiwa hutakiwa kukanusha huo ushahidi wa walioleta mashitaka. Tuache sheria...
  7. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Sitamchangia pesa Mwanasiasa yoyote

    Moja ya vitu ambavyo hushangaza kwa sisi watu ambao tupo kwenye ulimwengu wa 3 ni namna tunavyofanya maamuzi. Ukweli usiopingika ni kuwa tunahitaji wanasiasa watuongoze na ndio mfumo upo hivyo na wala sio jambo baya. Siasa katika nchi zetu ni biashara kubwa pengine kuliko zilivyo biashara...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tom Mboya, mwanasiasa maarufu kuuawa nchini Kenya

    Tom Mboya Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969 Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa, Thomas Joseph Odhiambo Mboya, aliyejulikana zaidi kama Tom Mboya ameuwawa mjini Nairobi. Wazazi wetu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro hawajawahi kunyenyekea mwanasiasa wala kiongozi: Miaka yote wamekataa kutawaliwa wanaongozwa

    Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu kuwatumikisha akaamua atumie wamishenari kwa ajili ya kutangaza injili kurahisisha njia ya kuwatala lakini...
  10. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi, Vyama vyote viwe na haki sawa. Sio nyie msifanye siasa, na anayesema hivyo ni Mwanasiasa

    Hakika huyu mzee wetu ndiye mtumishi wa kweli wa Mungu. Amewashauri watawala kufuata misingi ya katiba na siyo kutawala kwa mazoea.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanasiasa 'alituhadaa' Juzi kati kuwa kuna Wenzake wanautaka Urais na atawatoa je, mpaka jana tayari tumeshawatambua au?

    Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025? Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  14. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa sharti uwe na wafuasi siyo wapambe. Somo kutoka kwa Hayati Maalim Seif na Hayati Dkt. Magufuli

    Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana. Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kutaka kuwa Mwanasiasa ni dalili ya Taifa masikini lililokosa mwelekeo

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi! Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni Taifa masikini sana! Marekani yenye watu zaidi ya milioni 300 ina wakulima wasiozidi asilimia 10%...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Machachari apata kipigo kikali

    Heshima sana wanajamvi, Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi. Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa. Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

    Sikiliza…..
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unamsaidia vipi kisaikolojia Mwanasiasa aliye au anayetarajia kwenda jela muda mrefu ili asiathirike na kukata tamaa ya Maisha?

    Hapa nilipo nchini Somalia katika Mji maarufu wa Hargeisa kuna Mwanasiasa Mmoja maarufu aitwae Mahmoud Salim kaenda Jela miaka mingi tu ila kuna mwingine nae pia ni maarufu na Kipenzi cha wengi aitwae Tariq Masoud muda wowote anaenda Jela. Bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa Mimi...
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
Back
Top Bottom