mwanamke

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

    Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa...
  2. kataip

    JamiiForums Tanzania Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

    Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  6. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  9. Akili Unazo!

    JamiiForums Tanzania Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  10. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usimkinai mwanamke, usiwe unapiga bao!

    Saikolojia ya mwanaume iko hivi... Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla. Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa. Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  12. Bastian Schweinsteiger

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe kitendo cha kupunzishwa kazi ananikaushia

    Nahisi pesa tu...muhogo uko vema
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  15. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Sasa huyu mwanamke kinachomshangaza ni kitu gani?

    Kaomba kuja kunitembelea mageto… Nikamuenesha haya vyombo vile pale anza kupika. Binti kaanza kuulizia mchele uko wapi? Mimi… ule pale. Upawa uko wapi? Mimi…. Ule pale. Mara akashika sufuria aanze kukorokocha nikamwambia weee mama weeeee…. Kuna pressure cooker ile pale tumia hiyo mambo yawe bam...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumsaidia mwanamke huyu

    Mwaka huu 2/ 2022 jirani zangu walimpokea jamaa fulani tokea Kaskazini , niliambiwa amefika kwa ajili ya tiba na kuwasaidia mdogo mtu ( askari polisi aliyefutwa kazi na kaka mtu ambaye kwa mtazamo wangu ni mhanga wa madawa ya kulevya) , ninachokumbuka ni kuchinja kuku , kupasua nazi na kufanya...
  17. sepema

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuwa na watoto wachache inamuongezea tabia ya kutotulia kwenye ndoa

    Mara nyingi hamuitikii salamu Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne kwenda juu na mwenye wachache ni watatu kushuka chini. Kuna wenye watoto wachache kutokana na matatizo...
  18. Dotonho

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Kama Mama Yangu

    Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO SIMU: 0713 48 28 16 FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO SEHEMU YA KWANZA (1) "Vuta picha...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Mwanamke ilivyotamu lazima niilambe! Huo ndio msimamo wangu

    PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU! Anaandika, Robert Heriel Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo. Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema? Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwami Theresa Ntare VI wa Heru - Chifu wa kwanza mwanamke

    Nimevutiwa sana kujua Historia ya mwanamke shupavu ambaye alikuwa ni mtawala wa kutoka katika kabila la waha wa Jamii ya kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu. Mwami Theresa Ntare (1922 - 1999) Ambapo zama zile jamii nyingi za Kiafrika zilitajwa kuwaweka nyuma wanawake, Mwanamama huyu...
Back
Top Bottom