mwanamke

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Walahi nime mblock yule mwanamke

    Nilikuwa namheshimu sana hasa kwa ushauri wake wa mambo ya fedha na uwekezaji. Kiumri anaweza kuwa kama binti yangu, LAKINI Kwa ule upuuzi na ile sumu aliyoisambaza kwa wanawake wenzie,,,waaalaaahi bilaahi nimemdilitia mbaali na kumblock kila pahala. Chap kwa haraka nafasi yake nimemuweka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  3. CONCHEY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na haki za ndoa

    TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke aliyesoma na mwenye sifa za kitaaluma hawezi kutarajiwa kufungiwa ndani ya mipaka migumu ya majukumu ya ndoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Ugonile, kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato. Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
  6. Sexer

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mzuri wa kuoa

    Binti mrembo ambaye yuko tayari kutulia na mme aje inbox chap, umri wangu ni miaka 37, pia asome Uzi huu na azingatie Waepuke wanawake masikini
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

    Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba. Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba...
  8. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyaona target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke

    Wakuu mimi niko salama!. Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale pale lakini kwanini sasa ilimfikia mwanaume?, kumaanisha kwamba target ya nyoka ilikuwa ni mwanaume...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa na harufu namuacha aisee

    Habari. Mimi sijui nina shida gani wazoefu. Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu. Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Bruh jiheshimu kamwe usi Double text Huyo sio mwanamke peke yake Duniani

    Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Stori zingine bwana, eti mwanamke hatakiwi ajue kama una hela benki, au umewekeza pahali fulani sababu anaweza kukuua au kuomba taraka mgawane mali

    1. Nimezikuta hizi stori mahali fulani, yaani mwanamke hatakiwi kujua chochote kuhusu mali zako 2 .Ukizeeka atakuacha hapo nyumbani aende kuishi Kwa watoto wake 3. Ukifikisha miaka hamsini usijihangaishe kujenga kama ulishajenga Nyumba Moja yatosha. Hifadhi fedha yako benki harafu uwe...
  13. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

    Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto. Kulingana na familia yake, ugomvi...
  15. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kanikimbia, akazae mbali

    Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live. Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona. Yaani nimebembeleza nimelia hajali Wameshampumbaza hawa mbwa. Nampataje tena. Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kushika ujauzito?

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  17. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli mwanamke wa miaka 31 amedaiwa Kuzeeka ghafla na kuonekana kama bibi wa miaka 80?

    Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 31 amezeeka ghafla na kuonekana kama bibi mwenye umri wa miaka 80. Chapisho hilo linaeleza kuwa mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Sinenhlanhla...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ghali Zaidi: Anayeondoka Baada Ya Kujengwa

    Mwanamke Ghali Zaidi Ni Yule Anayeondoka Baada Ya Kujengwa Wanaume, Wanawake wanaowaumiza wanaume kifedha sio wale wavivu pekee. Mara nyingi— ni wale wanawake ambao mwanaume aliwasaidia kuinuka. Yule mwanamke aliyemuamini. Aliyemwekeza. Aliyemsapoti kihisia, kifedha, na kiakili. Yule...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unamkuta mwanamke amezaliwa mweupe kabisa, halafu tena bado anajichubua, hivi hali hii huchochewa na nini?

    Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona. Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa? Unakuta binti kaiva sura...
Back
Top Bottom