Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo.
Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.
Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia...
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana.
Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni
Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu
Pili kumbe inapunguza uke
Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona utavikumbuka mana unaanza tena upya la sivo Ile methali Ile shindana kunya na tembo.....
Wanawake wengi...
Mabinti weupe sana
Wana mashape hatari
Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam
Wachapakazi wapole nk
Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra za kutosha
Wadau myimwike,
Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo.
Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini?
Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu?
Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka??
Au wewe ulioa mwanamke mtamu na ,tabia utamwelekeza?
Ukiangalia wanaume wengi wanao chepuka ,ni ile waliangalia tabia na si...
Wasukuma tunasema;
MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅
Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.
Ladies and gentlewomen,
I...
Njoo ubishe
Kwa mwanaume akisha balehe tu utamu unaanza hapo
Ila Kwa mwanamke anaanza kuhisi raha halisi ya sex pale anapofikisha miaka 28, ndio maana ukimpata mwanamke mwenye miaka hiyo na ukamkoleza sex sawa sawa ndio anakuganda na anaacha kuangaika na wanaume tofauti tofauti
Kinyume...
Guys ni wapi kwa hapa Tz nitapata sehemu wanapandikiza mbegu nimekaa nimetafakari kwa umri wangu huu miaka 23 sijawahi kuwa na demu wala wa kusingiziwa na sina mpango wa kuoa,ninachotaka kufanya ni kutafuta mwanamke mzuri mrefu namlipa akapandikizwe mbegu zangu alee mimba alafu nimchukuwe mtoto
Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa.
Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu.
Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati.
Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji.
Sasa Kuna mwamba nipo nae...
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua...
Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti.
Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza wanawake wazuri walishakuwa toleo la iphone lilopita japo umri wao ni sahihi.
Wafanye nini ?.Mimi...
Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi.
Wamefanikiwa kupata watoto watatu saSA. Katika watoto watatu hao mmoja tu ndo wa jamaa wawili wa mtu mwingine.
Jamaa kagundua kube...
Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake?
Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.