Shikamoon wakubwa zangu wote
Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.
Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia)
Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa...
Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto.
Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu.
Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna...
WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana.
2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
Leo naamka na wanawake.
Hivi mwanamke anaweza kuwa mlevi na asiwe malaya? Sizungumzii mwanamke mnywaji, nazungumzia mlevi. Yule wa kurudi usiku kutoka kwenye ulevi.
MPIGIE KURA MWANAMKE KINARA SEKTA YA ELIMU 2026 - CHRISTINA CHACHA
Mwisho wa kupiga Kura ni tarehe 20.04.2026 11.59 usiku.
Andika jina kwenye comment katika akaunti ya Instagram ya Mwanamke Kinara (Jina Christina Chacha) au Piga kura kwenye Channel ya Whatsapp ya Mwanamke Kinara link
SEKTA...
Inashangaza sana mtu anaelezea msimamo wake kuwa Mimi wakuu siwezi kuoa mwanamke asiye na bikira wanawake used na wanaume walioa used wanakasirika hadi kuanza kutoa laana kwenye msimamo wa mtu.
Mkuu kama ulikubali either ukaoa mwanamke mwenye mtoto au asiye na bikira na ukatoa mahali wewe ni...
Mzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu Ayatollah, pisi Kali anachambua mabomu ya Ukraine.
Hata kwenye majukwaa mengine MMU Jf ni full spana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.