Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 272
- 700
Habari.
Mimi sijui nina shida gani wazoefu.
Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu.
Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu