Wakuu habari,
Ijumaa iliyopita nilikuwa nimejichokea zangu kutokana na hekaheka za hapa mjini za kujitafutia mlo wa kila siku.
Nikapata wazo, ili nikae sawa inabidi nitafute sehemu ya kwenda kupumzika nje ya mji.
Ikabidi nichague mkoa mmoja ambapo mama mtoto wangu mmoja anaishi huko...
Nina rafiki zangu wa kike wawili nimedumu nao kwa miaka zaidi ya 7 lakini nilikuja kugundua ni kwasababu sikuwahi kukutana nao kimwili. Ila wale nilikutana nao kimwili baada ya muda mfupi urafiki ulikufa.
Kuna tofauti kati ya kwa wanadamu wenye maumbile na jinsia ya kike, na kuwa mwanamke mwenye sifa, tabia, mtazamo na utayari wa kuingia katika maisha ya ndoa.
Watu wengi wamekuwa na tabia ya kulalamikia tabia na mienendo ya wanawake wa siku hizi, katika maisha ya kawaida na hasa katika maisha ya...
Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi
1.Una pesa
2.Mfanyakazi
3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia
4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe...
MWANAMKE HAWEZI KUWA MTIIFU KWA MWANAUME BWEGE, ASIYEJIELEWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Vijana lazima mjue hili. Mkijizama data mtajua wenyewe.
Hakuna mwanamke aliyezaliwa mtiifu. Huyo mwanamke hayupo.
Utiifu umeamrishwa kwenye Dini na tamaduni kwa sababu sio jambo la asili...
Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,
Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii
Lakini demu ni...
Ndio maana wengi utawakuta wakisifu wanawake wa zamani walikuwa wife material lakini ukiangalia kwa ndani wanawake hao walifunzwa au walilazimika kuwa submissive kwa wanaume wao.
Mwanaume hasa kijana ambae yupo mwanzo wa ndoa anapenda kunyenyekewa, ndicho kitu humvuruga akili kuzidi hata game...
Habari za muda huu wana-JF!
Leo kwenye jukwaa letu la Entertainment (Burudani), nataka tuangazie kidogo tasnia ya muziki wa Dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mara nyingi tukitaja muziki wa Kongo, majina yanayokuja haraka vichwani mwetu ni ya waimbaji au wapiga gitaa wa kiume...
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda.
Je hii ni sahihi?
👇
Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao
Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
Mwana Mitindo , Jasinta makwabe ame washauri wanaume ambao wana hisi kuwa na maumbile madogo ya kiume (KIBAMIA) ni ulemavu, Waanze Kujiamini Kwa sababu hakuna kitu ambacho MUNGU ana kiumba bila sababu za msingi.
Hata uwe na Kibamia lazima Kuna mwanamke wako Atakupenda na Kibamia Chako na...
Hii ni sababu kuu kwanini singo maza wanaongezeka kila kukicha hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakubali kutawaliwa na mwanamke
Wanawake wa sasa wanataka watupindue wao ndio wawe vichwa vya familia afu sisi wanaume tuwe kama watoto .
Wapo wanawake wengine wanafika mbali wanaroga...
Unaweza kuchukulia poa huu msemo
Labda ukaona umekaa secular sana
Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka.
Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
Mimi nimezaa na mwanamke mtoto mmoja nikawa nahudumia bila shida yoyote aidha kwa kuambiwa au kwa kujiongeza mwenyewe mara kadha wa kadha alikuwa anakata mawasiliano yaani huambiwi chochote kuhusu mtoto yaani iwe mahitaji au afya ya mtoto baada ya muda kadhaa(miezi) anakutafuta ndo unapata...
Mdau mmoja amemuuliza Kiredio kwanini siku hizi kaacha kabisa kazi yake ya kupost maudhui mtandaoni baada ya kuachana na aliye kuwa mpenzi wake, Vee Dollars.
Kiredio ameshangaza wengi Kwa jibu alilo litoa, Kiredio amejibu kuwa;
"Siku hizi kumiliki mwanamke mzuri mwenye Shepu ni kazi sana ni...
Jamni niko Dar nina dawa ya ukweli kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,ndani ya wiki utakuwa umepata jibu
Na kwa wanawake ambao hawashiki ujauzito,mwenye uhitaji anafwate inbox
Wakuu habari za wakati huu
Its weekend, wengine najua bado tupo tunapambana baadhi yetu pia ni siku ya kupumzika pengine kutoka either wenyewe ama na wapenzi wao kufurahisha nafsi.
Nianze kusema tu nimekuwa disappointed sana na kile nilichokiona ndani (chumbani).
Leo nimeona vitu ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.