Mwanamke kanikimbia, akazae mbali

Mwanamke kanikimbia, akazae mbali

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,033
Reaction score
49,651
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.

Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.

Yaani nimebembeleza nimelia hajali

Wameshampumbaza hawa mbwa.

Nampataje tena.

Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
 
Kwa comments zako humu mwanamke lazima asepe , na mimba sio yako acha usumbufu
 
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.

Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.

Yaani nimebembeleza nimelia hajali

Wameshampumbaza hawa mbwa.

Nampataje tena.

Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
Lia mpaka mpaka machozi yakauke
 
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.

Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.

Yaani nimebembeleza nimelia hajali

Wameshampumbaza hawa mbwa.

Nampataje tena.

Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
ndio tabia ya mimba changa ilivyo gentleman, haipendi kuona vipara au mapengo ya muhusika wa mimba hiyo,

toa matunzo,
na usubiri kijacho na sahani yake. Kua mpole 🐒
 
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.

Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.

Yaani nimebembeleza nimelia hajali

Wameshampumbaza hawa mbwa.

Nampataje tena.

Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
Acha kifafa cha mimba, kuna kichaa cha mimba huenda kimemkumba na baada ya kujifungua, atarudiwa na hali ya kawaida.

Vinginevyo mimba si yako, unachezewa tu saikolojia hapo .

Hakuna kipindi mwanamke anapenda kuwa na mume kama kipindi anachokuwa mja mzito, kwa nini isiwe wewe?

Fanya utafiti sawa sawa ili 'uchanganye na zako'.
 
Wakuu huyu mwanamke amenitegea mimba live live.

Kaishika mimba ila kakimbia kabisa anapokea simu kunijulia hali tu but hataki kabisa kuniona.

Yaani nimebembeleza nimelia hajali

Wameshampumbaza hawa mbwa.

Nampataje tena.

Mimba kama yangu ni kweli anayo ila ndio hataki hata kusikia harufu yangu.
Kaenda kwa mumewe huyo, saivi anaichakata tu. Ila wanawake 😂
 
Back
Top Bottom