mwanamke

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

    Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wengi wanaolewa na watu wasiokuwa wa ndoto zao!

    Baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi juu ya hawa viumbe wanawake nimegundua wanawake wengi wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao, yaani wale ambao wanawapenda na yote haya yanatokea kwasababu kadhaa; Namna sisi wanaume tunavyotafsiri ndoa sivyo wao wanavyotafsiri ndoa. Mwanaume...
  3. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anna Tibaijuka: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za Wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

    Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  5. AI tata

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnasahau sana. Miki bado nipo kwenye utabiri wa Sheikh Yahaya. Ile hatua ya baada ya Rais Mwanamke.......

    Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows. Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande. Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  7. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mwanamke wa Kiyebusi!

    Baada ya jamaa yangu mmoja kusisitiza anataka mke wa Kiyebusi nikamuunganisha na huyu dada anaitwa Vasavadatta anatokea huko Udayana Kingdom. Jamaa amenipigia simu akilia nimwombee msamaha kwa huyu dada. Moja ya kosa alilofanya ni alipomwalika Hotel wapate lunch wakati wa kuondoka akampa Tsh...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wazo langu kuoa kuoa MWANAMKE Bikra bado lipo pale pale

    Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wazo langu la kuoa MWANAMKE bikra bado lipo pale pale

    Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mweusi tiiii aliyezishinda mahesabu kompyuta za NASA

    John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta. Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962, lakini hakuna aliyekuwa akiziamini kikamilifu. Glenn alitoa maagizo ya moja kwa moja: “Mtafuteni...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

    Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo.. Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku. Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35... Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Bro, kila mwanamke anacheat, anadanganya, analaghai

    Sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila kwa sababu wanawake pia ni binadamu. Na asili ya binadamu ni survival, not honesty. Wanawake wameweza ku-survival tangu vizazi vya kale kwa kudanganya, kucheat na kulaghai ili wapate ulinzi na matunzo Mwanaume mjinga anafikiri mwanawake wake ni...
  15. uran

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Nidhamu ya hali ya juu, Kuwa Boss wa Mwanamke mwenye nidhamu na Utii

    Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa. Ni noma sana! Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana! Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time...
  16. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri "Mshangazi"? Nini kilikusukuma, ulifaidika/ulijutia nini kuwa nae? Check story yangu

    Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 Yanayoweza Kumfanya Mwanamke Ajivunie Mwanaume Aliyenaye

    Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na zaidi namna anavyomtendea mwanamke aliye naye. 1. Vile alivyo Tabia na utu wa mwanaume vina nafasi...
  19. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

    Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki.... Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha? Mimi...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anatamani kumpata

    Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu? Je, mwanaume anatafuta mwanamke anayemheshimu, anayempa amani, anayejua kuwasiliana vizuri na anayebaki naye wakati...
Back
Top Bottom