Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

Mwanamke wa Kibera Achomwa na Maharagwe Moto Kwa Kudaiwa Kuunga Mkono Serikali ya Ruto

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
322
Reaction score
225
Siasa za 2027 zimeanza kuleta tension ground mapema. Maureen Masili kutoka Kibera anapigania maisha yake katika hospitali ya KNH baada ya kudaiwa kumwagiwa maharagwe moto kufuatia mabishano kuhusu slogan ya “Tutam” inayomuunga mkono President William Ruto.

Kulingana na familia yake, ugomvi ulianza wakati wa protests za kupinga bei ya mafuta kupanda. Inadaiwa mshukiwa alikasirishwa na msimamo wa Maureen kuunga mkono serikali, before situation ika escalate na kumwagiwa maharagwe ya moto.

Maureen alipata majeraha mabaya kwa kifua, tumbo, mapaja na sehemu za siri. Familia sasa inalilia haki huku ikionya kuhusu kuongezeka kwa political intolerance nchini. DCI wameanza uchunguzi wa kesi hiyo lakini hadi sasa hakuna arrest imefanywa.

Pia Soma
Wakenya wengi online wamehoji: tofauti za kisiasa zinafaa kufika kiwango cha violence kweli?

Source: Tuko.co.ke
 
Back
Top Bottom