Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,703
Reaction score
49,707
Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba.

Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba ya kumkula.

Nilimwambia aniambie ni nani anayemchosha huko nje au anithibitishie kuwa yeye ni mlemavu na kwamba aliolewa tu kwa kufuata mikumbo. Nilimwambia nataka nijue ili nipate sababu nitakapomrudisha kwao, nikawaambie kwamba binti yao ni mlemavu na aliolewa kwa makosa kwa sababu ile kazi ya ndani haiwezi.

Tungu hapo sijawahi kupewa kwa masharti.

Nina mtoto nje ya ndoa. Sasa mama wa mtoto aliniletea tabia za Kikurya, yaani alileta hasira kisa kuna jambo moja dogo tu nilikuwa kama namzungusha kumtimizia. Sasa siku namtimizia najiandaa kumpelekea kiswaswadu chake, nikamwambia huenda nisije leo na kwamba nitamtuma bodaboda alete hii simu, akakata simu kwa hasira.

Nikampigia akapokea, nikamuuliza kwanini umekata simu, akanijibu nakuwa na fake promise.

Nikamwambia ok, basi kuanzia sasa nitakutumia elfu 50 tu ya mtoto badala ya laki 1 niliyokuwa nakutumia kila mwezi.

Tena jua kuwa mimi sijawahi kumpenda mwanamke, hivyo sitahitaji nikuone tena maisha yangu yote. Kisha nikamblock kwa siku kama tano hivi ili nisizione sms zake. Akawa anatuma nafuta bila kusoma, baadaye nikatoa block. Sasa mwezi umekata na yeye ndiye huanza kunisalimia, namjibu short and clear.

Kwakweli sihitaji tena kusex naye hata kumuona. Tutaonana labda siku nakwenda kumchukua mtoto mwaka 2031.

Mwanamke anipande kichwani huku namwangalia tu? Haiwezekani.

Hata wife nilimwambia mapema.

Siku nikipata ushahidi tu amecheat, msamaha wake ni kumfukuza nyumbani usiku wa manane.
 
Hiyo simu aina gani ukiblock sms zikiingia unapata notification hadi unafuta bila kusoma?
Simu hizi ndogo tunazotumia kufanya chatting nyingi hata ukimblock mtu sms zinaingia kama kawaida.
Simu za Android au apple sms zinaingia ila zinajificha mpaka ukazichimbue unazikuta zote.
Blocking haizuii sms isiingie
 
Mara nyingi ni wanawake wa kikurya ndio wanatabia hizo
Kufokea wanaume
Kujiamulia mambo
Hasira za kijingajinga
Kukataa kupika
Kununa na kwenda kulala ndani
Midomo kelele km ndege
Dawa yao ni moja kipigo tu usipompiga utadharaulika sana
 
Back
Top Bottom