mvua

  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mvua ikinyesha utakimbilia nini kati ya hivi viwili?

    Kuna upendo wa ukweli ila kuna vitu lazima uweke upendo kati ukajisitiri. Mvua kubwa inanyesha ukapewa lift na bado mchumba au mume anamwamvuli utaenda na gari au na mwavuli na mpenzi wako.
  2. Mancobra

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kutegemea mvua: Nini kifanyike?

    Mambo vipi wadau wa maendeleo, natumai wote Ni wazima wa afya Kama kati yetu kuna mgonjwa naomba Mungu akupe wepes Mambo yawe vizuri. I hope Kila mtu anajua kilimo ndo uti wa mgongo kwa uchumi wa waTz walio wengi(even me) na taifa kwa ujumla. Mazngira ya kilimo hapa bongo kwa wakulima wengi Ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania TARURA na halmashauri huu wakati wa jua utumieni kusawazisha barabara na stendi mbovu; msisubiri mvua

    Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope! Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze! Waziri...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje: Tanzania bado tunalima kama ilivyolimwa Eden

    Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia. Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri kuwepo Sera ya Watanzania wenye nyumba za bati kuvuna maji ya mvua

    Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea ameshauri Wizara ya Maji kutengeneza Sera itakayowafanya Watanzania wawe na tabia ya kuvuna maji ya mvua Akichangia katika Bajeti ya Wizara ya Maji Bungeni amesema, "Kila Mtanzania mwenye nyumba ya bati tayari ana chanzo cha Maji, kinachobaki...
  6. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Namna Kujenga & Kurekebisha Kuvuja Paa la Contemporary Houses (hidden roofing)

    Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani TMA wamasemaji na hii Mvua ya ghafla Jijini Dar es Salaam ambayo pia imekuja na baridi la kuliogopa na kulikimbia Bafu?

    Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka sasa wameendelea Kuuchuna ( Kunyamaza ) tu. Kwa Ubaridi huu ( Baridi hili ) la Sasa hapa Dar es...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mvua Dar; Jangwani panapitika leo?

    Habari wakazi wa Dar es Salaam na viwanja vyake. Nina safari ya kwenda mjini Posta leo. Hii mvua ilivyonyesha hii asubuhi Jangwani panapitika kweli? Kwa walioenda mjini kupitia njia ya Morogoro naomba mrejesho. Shukrani.
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

    Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe, Hata usingizi hauji kutokana na hofu. Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wakati wa Mvua huchangamka na Kuipenda, ila Wanaume huwanyong'onyesha na huichukia?

    Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo au hapana. Watanzania ni Watu wa Vituko sana tu.
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wimbi la makundi ya nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua vinamaanisha kuwa mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula

    Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua. Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kuepuka katika kipindi cha mvua

    Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga. Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi katika kipindi cha mvua.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

    Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa hii mvua, kesho mtasikia Dar imezama

    Hii mvua inayopiga usiku wa leo, kama upo maeneo yanayokumbwa ma mafuriko kila mwaka jijini Dar, kesho una kibarua cha kutoa maji na tope ndani. Kudadeq hii kitu TMA hwwakutuambia hii. Uzi ndio tayari, wacha server zijae tu.
  16. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania 'Vetiver' nyasi zenye uwezo wa kuzuia mmomonyoko wa udongo

    VETIVER GRASS Vetiver Grass ni aina ya nyasi ndefu zenye majani marefu, membamba na magumu. Vetiver Grass kwa jina la kisayansi zinajulikana kama "Chrysopogon zizanioides" na asili yake ni India. Vetiver Grass zinauwezo wa kukua mpaka sentimita 150 ambazo ni sawa na futi tano na mizizi yake...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
  18. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Mvua kunyesha kubwa sana na muda mwingine rasharasha, Huko angani kuna koki?

    Huwa najiuliza inakuaje kuna muda mvua inanyesha ndogo tu ambayo huitaji hata muavuli (rasha rasha) Lakini muda mwingine hunyesha kubwa sana..kiasi kwamba mpaka mafuriko au kelele nyingi sana juu ya bati Je, nini kinachopunguza au kuongeza hii presha ya mvua..ikiwa huko angani hakuna koki au...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

    Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu. Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
Back
Top Bottom