mvua

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mvua Kubwa Inaendelea Kunyesha

    Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Upepo, mvua zaathiri miundombinu ya umeme

    Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunapoelekea msimu wa mvua na baridi chukueni tahadhari. Miaka miwili nyuma kipindi hiki hakikua kizuri! Tubuni...

    Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini. Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga hakuna anayesambaza habari zao ila tajiri au kiongoz akiondoka Dunia inajua. Viongozi wengi tulionao...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wafanya Maombi Maalum ya kuombea Mvua inyeshe

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTY MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBA MUNGU MVUA MERARANI - SIMANJIRO PRESS RELEASE 17 JANUARI 2022 BISHOP CHARLES GADI Ndugu Watumishi wa Mungu, Maaskofu wachungaji, manabii mitume, walimu wainjiliti wazee wa kanisa na Waandishi wa Habari, Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kaskazini tumeanza kupata mvua tangu jana

    Jambo la kushukuru Mungu sana maana hali ilikuwa tete sana. Mbali ni vifo vingi vya mifugo pia hata vyanzo vingi vya maji vilikuwa vishaanza kukauka. Hatari kwa kibinadamu pia ilikuwa inatunyemelea maana hata vifo vingetokea kwanza kutokana na jua kuwa kali na pia ukosefu wa chakula. Hii...
  7. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kama hali ikiendelea hivi bila mvua mpaka mwezi wa Sita, mwaka huu utakuwa mgumu sana

    Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi. Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, yule Mchina Mkulima tuliyemsingia 'Kipropaganda' kuwa anayatumia Maji yote ya Mto Ruvu kwa hizi Mvua nyingi lini tutamruhusu aendelee Kumwagilia?

    Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mvua zilipogoma Kunyesha tulimlilia mno Mungu, je, ni lini tutahimizana tena Kupiga Magoti mbele yake Kumshukuru kwa hizi Mvua?

    Binadamu ni Watu Wanafiki mno yaani tunamkumbuka na Kumlilia Mwenyezi Mungu pale tu tukiwa na Shida zetu ila tukifanikiwa tunamsahau ghafla.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Christmas isiyonyesha mvua

    Christmas zote lazima mvua inyeshe.
  11. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa Mvua Nchini: Tuwaulize Wanasayansi au tumtegemee Mungu?

    Wananzengo wenzangu tunaotegemea mpini wa jembe kuendesha maisha yetu, leo ni tar 23 desemba huku kwetu rukwa na katavi hatujaonja mvua. Nimejaribu kuwauliza wazee wameniambia haijawahi tokea mpaka tarehe hizi mvua hamna, wakati dar kulikuwa mvua kubwa mpaka mafuriko rukwa haijanyesha bado...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hifadhi wa maji ya mvua

    Kuna kisima chini kinakusanya maji kutoka kwenye gutters, wakati wa kutumia yanavutwa kwa pump na kujaa kwenye mapipa. M
  14. J

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Mvua zinanyesha sana lakini maji bado ni ya mgao!

    Au inanyesha Dar es Salaam tu huko mikoani hainyeshi? Bujibuji Simba nyanaume huko Mbeya inanyesha? Babati hapo Rombo hali ikoje? Mmawia tujuze kutokea huko Ntwara. Kibaha je? Kwako Mshana Jr Na Machame bwashee Daudi Mchambuzu hali ya mvua ikoje huko? Maendeleo hayana vyama!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Mungu ameanza kujibu maombi yetu ya mvua

    Ahsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa. Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine. Tuendelee kumuomba Mungu.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa dini tumuombe Mungu Maarifa sio Mvua

    Sitaki kupuunza nafasi za Viongozi wa Kiimani lakini haizuii ukweli kuwa wana nafasi ya kuielimisha Jamii zaidi ya kujaribu kuficha tatizo. Ningetamani badala ya kufanya juhudi za kuomba mvua basi Wangechagua siku moja ya ibada watoke na Waumini wapande miti ili kutibu mazingira. Mimi naamini...
  20. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kila sababu za kuzuia chakula kuuzwa nje ya nchi kwa mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyopo hivi sasa

    Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu. Ikumbukwe kwamba pamoja na mambo mengine kuna baadhi ya mikoa kama Kagera, Arusha, Iringa, Kigoma n.k. kipindi kama hiki mvua...
Back
Top Bottom