mvua

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  7. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Mvua za kutengeneza (mvua za Lowassa)

    Mwaka 2006, nchi yetu ilikubwa na ukame, nakumbuka waziri mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, alikwenda nchini Thailand, kujaribu kufanya mazungumzo na serikali ya Thailand, ili walete wataalamu wao waje kuleta utaalamu wa KUTENGENEZA MVUA ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na ukame kwa...
  8. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Tory Lanes ategemee Mvua ya miaka 23 Jela kwa kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Mwanamuziki Tory Lanez pengine akatupwa jela kwa muda usiopungua miaka 23 ikiwa atakutwa na hatia juu ya kesi inayomkabili ya kumpiga risasi rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth maarufu Megan Thee Stallion. Kwa sasa ni takribani mwaka mmoja, tangu mwanamuziki Tory Lanez...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mvua

    Binafsi napenda sana mvua. Kuna amani fulani huwa naisikia mvua ikiwa inanyesha. Hata ile harufu ya udongo mvua zinapoanza kwangu ni burudani kabisa. Nifahamu kuwa wanaopenda mvua wanaitwa fluviophile. Kuna watu wengine humu nao wanapenda mvua?
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Paa hili licha ya kuhitaji mabati machache pia ni rahisi kujenga muundo wa kuvuna maji ya mvua

    Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kijazi: Kutakuwa na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka, wakulima chukueni tahadhari!

    Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari. Source: ITV habari
  15. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Mvua ya Mawe (Hailstorm) Geita

    Mlioko Geita hii mvua ya mmeiona? Mimi mahali nilipo imenyesha kwanza mvua yakawaida tokea mchana ila muda mfupi uliopita ikaja ya mawe (hailstorm) kama kwa dakika kumi hivi sasa imekata.
  16. beth

    JamiiForums Tanzania China: Watu 21 wafariki dunia kutokana na mvua kubwa

    Miji mitano katika Jimbo la Hubei imetangaza tahadhari baada ya mvua kusababisha vifo vya watu 21 na kulazimisha watu wapatao 6,000 kuhamishwa makazi. Mamlaka zimeonya mvua kubwa zinaweza kuendelea hadi wiki ijayo Hali mbaya ya hewa imesababisha umeme kukatika huku nyumba zaidi ya 3,600 na...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tuchanje mvua au tuote jua? By Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM

    Wanabodi, Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari. Karibu. Paskali TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA? Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM. Ugonjwa wa kirusi cha korona (COVID-19 au UVIKO-19), kwa mara nyengine tena unaku wa ni...
  18. Acehood

    JamiiForums Tanzania Baada ya joto kuua zaidi ya watu 500 Canada, Dubai yatengeneza mvua feki kukabiliana na joto

    Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo. Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa mkoani Morogoro

    Imezoeleka mvua kunyesha kati ya Oktoba- Januari na Machi - Mei kila mwaka, na Juni - Septemba kuwa kipindi cha vumbi jingi, lakini imekuwa tofauti hivi sasa mvua kubwa inanyesha usiku huu hii ni ishara ya kuwepo mabadiliko ya tabia nchi.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha kwa Polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela. Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi...
Back
Top Bottom