mvua

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya upungufu wa chakula yatolewa kutokana na mvua chache

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, Novemba na Disemba unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua chache na hivyo kusababisha athari ikiwemo upungufu wa chakula. Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mvua ya ajabu iliyonyesha Jumatano na Alhamisi ilikuwa ndiyo angamizo la wana yanga

    Maana hata mamlaka za hali ya hewa hazikuiona mvua hile ya ghafla kiasi kile ( jokes)
  3. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwaka 1997 ilinyesha mvua kubwa sana ya El Nino lakini maziwa hayakuleta mafuriko?

    (SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI) Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how. The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame. Source: Big earthquakes might make sea level...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 11 wafariki kutokana mvua

    WATU 11, saba wakiwa watoto, wamekufa kwa kusombwa na maji na wengine kuangukiwa na kuta za nyumba baada ya mvua kubwa kunyesha katika vijiji vya Pande na Konde vilivyopo mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa , amesema majira ya saa saba usiku katika kijiji...
  5. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini sana kipindi hichi cha mvua. Tazama video mpaka mwisho

    Hii imetokea jijini Kampala nchini Uganda katika barabara ya Jinja. Tazama mpaka mwisho
  6. V

    JamiiForums Tanzania Jua likizungukwa na upinde wa mvua inamaanisha nini?

    Niko Arusha huku kwa sasa naona jua limezungukwa na upinde wa mvua. Kwa maoni yenu mnadhani hii inamaanisha nini? *Stay home stay safe, wash your hands frequently with water and soap, observe social distancing measures*
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hii mvua ya leo jangwani panapitika?

    Naomba mwongozo niko maeneo ya bibi Titi Nssf nataka kuelekea magomeni mwembechai, je Jangwani panapitika au nizunguke kupitia kigogo? Nitashukuru kwa mwongozo wakuu!
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania TMA yawatahadharisha Wananchi wa Ukanda wa Pwani kuhusu mvua kubwa kwa siku 4

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha kwa mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia leo Aprili 17, 2020 hadi Aprili 20, 2020 katika maeneo ya Ukanda wa Pwani. Katika taarifa yake, Mamlaka hiyo imetoa angalizo kuwa kwa siku za Aprili 17 na 20, mvua kubwa itanyesha katika...
  9. jogi

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

    Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga. Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga. Bado sina picha kwa sasa. Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Iringa pambaneni na Corona na madaraja yaliyozolewa na mvua msitafute kiki za kumng'oa Meya haitawasaidia

    Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais. Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana. Tatu, kila mtu...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mvua ya masaa 2 Dar yasababisha nyumba 20 kuezuliwa mapaa

    UPEPO mkali na mvua iliyoandamana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi. Tukio hilo la aina yake limetokea masaa mawili yaliyopita ambapo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta' mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa 12 ikiwamo Dar es Salaam

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia leo Jumatano Februari 12, 2020. Taarifa ya TMA imeitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu asema Mikoa 18 imeathiriwa na mvua

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, mbali na kusababisha vifo, imeathiri barabara 73 na madaraja kwenye mikoa 18 nchini. Picha: Baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua nchini. Amesema reli ya Tanga hadi Arusha, na Dar es Salaam hadi...
  15. Kifwimbo

    JamiiForums Tanzania Natia nia ya kugombea uongozi kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    🖐NAMI NATIA NIA🖐. Nianze kwa kuwapa pole ndugu zetu wa mikoa ya Lindi,tabora,Dodoma na maeneo mengine ya nchi kwa maafa ya mvua zilizopita kiwango na kusababisha maafa pole sana Ndugu zangu mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwapa subra katika kipindi hiki kigumu. Najitokeza hadhari mbele ya...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mvua zaendelea kuleta maafa katika maeneo mbalimbali Nchini, TMA watoa tahadhari kuwa mvua hizi zitaendelea maeneo tofauti

    MVUA zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali zimesababisha maafa makubwa ikiwemo watu watatu kupoteza maisha na watu zaidi ya 661 katika vijiji zaidi ya sita wakikosa makazi ya kuishi katika mikoa ya Lindi na Iringa. Pamoja na hayo, miundombinu ikiwemo madaraja na mashamba ikiharibiwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 46 wafariki kafuatia maporomoko ya ardhi yalaiosababishwa ba mvua kali Brazil

    Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil. Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
  18. sadi msita

    JamiiForums Tanzania Mvua ya ajabu Gairo

    MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine. Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa minne Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020. Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe kubwa kuwahi kutokea duniani

    Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani. Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe 30 April 1888 ndio mvua kubwa kuwahi kutokea duniani, na ikaingia kwenye rekodi ya dunia ya...
Back
Top Bottom