Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe! Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi,miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4!
Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi!
"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya,
Ndipo NITAKAPOZINYESHEA MVUA ZENU KWA NYAKATI ZAKE,na nchi itazaa MAONGEO yake na miti ya madhambani itazaa matunda take...................nanyi MTAKULA CHAKULA CHENU KWA KUSHIBA, na kuketi katika nchi yenu SALAMA!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana!
Maanake Nyakati za Krimasi ya Leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua!
Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!!!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!!!
Ulikuwa unataka kusema nini mleta uzi
 
Ndugu wapendwa JF!

Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati!

Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo!

Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4

Mungu alipokuwa anasema na Walawi anasema hivi:

"Kama mkienda katika Amri zangu, na kuyashika Maagizo Yangu, na kuyafanya; ndipo nitakapozinyeshea mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa maongeo yake na miti ya madhambani itazaa matunda yake, nanyi mtakula chakula chenu kwa kushiba, na kuketi katika nchi yenu salama!"

Tukitizama andiko hilo hapo juu liko wazi, linatamka wazi kabisa Mvua za nyakati ni Baraka na KINYUME chake ni laana! Maanake Nyakati za Krimasi ya leo kama ilitakiwa inyeshe Mvua na limewaka Jua! Ni ISHARA YA NJAA! Watu hawatakula kwa KUSHIBA, Usalama wa nchi utakuwa wa Mashaka!

Ni vyema kama serikali tukajipanga kuweka AKIBA YA CHAKULA!

Mvua ya Krismasi hutoa Ujumbe mzuri na kinyume chake mwaka huu ni Ujumbe mbaya kwa nchi!

Mery Christmas!

Karibuni Kisuli mix utumbo ndo vinatokota!
Maana yake kama haijanyesha huko uliko ndo nchi nzima? Kwanza imani yako hiyo naona kama ya kipuuzi tu na kukariri..we Walawi wananihusu nini mimi Msukuma wa leo? Ishara yao ya wakati huo inanihusu nini mimi leo hii? Wabongo bana
 
Andiko huwa halipigwi ngumi! Yamkini utakuja kuelewa bdae
 
Back
Top Bottom