mvua

  1. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

    Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa mvua naombeni tujuzane mbinu za kukausha nguo

    Sehemu nyingi sahizi kuna mvua hapa nchini. Ni neema na baraka kwavile tutapata vyakula. Ila sasa kuna hii ishu ya nguo wakuu, Wewe unadili nayo vipi?
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mnapojenga Chato tukumbukeni na siye huku Rungwe Mashariki. Barabara tunateseka sana wakati wa mvua

    Naweza sema hizi Barabara hasa hii inayoanzia Katumba - Mwakaleli- Rwangwa- hadi Kyela ni muhimu sana kiuchumi. Huko ndiko inatolewa gesi ya carbon dioxide hiyo inayotumika kwenye vinywaji, mafridge nk. Huko kuna mashamba makubwa ya chai na kiwanda cha chai. Hivyo utaona umuhimu wa eneo hilo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Krismasi ya kwanza pasipo mvua ni ujumbe kwa mamlaka. Tuchukue tahadhari

    Ndugu wapendwa JF! Hapo zamani kila jambo lilikuwa na ujumbe. Babu zetu waliishi kwa kutazama mambo kwa nyakati! Mvua, vumbi, miti, jua na nzige na vingine vingine vilituma ujumbe wa namna bora ya kuishi nyakati zijazo! Hata ukirejelea Maandiko Walawi 26:3-4 Mungu alipokuwa anasema na...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

    Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

    Habarini za Usiku, Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii mvua inayonyesha sasa na hili wingu, vyote ni kutokana na utabiri wa TMA au vyote ni kwa 'hisani' ya Mnyama leo kwa Mkapa?

    Na kinachonishangaza ni kwamba inanyesha tu maeneo baadhi na nimeambiwa baadae itanyesha Regency Hotel kisha Jangwani Bwawani na ikifika tu Saa 10 jioni itanyesha kwa muda pale kwa Mkapa Stadium ambayo pia itaandamana na 'Nyuki' wa hapa na pale ili mradi tu leo akina Hersi na Msola baada ya Saa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya foleni ikoje na hizi mvua, naelekea Mbweni nikitokea Posta!

    Kwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi. Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani. Ahsanteni in advance. Maendeleo hayana vyama!
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Mvua yaacha vilio Dar WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa tahadhari ya kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali

  12. DISPLEI

    JamiiForums Tanzania Nini Suluhu ya tatizo la foleni barabarani mvua zikinyesha

    Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
  13. Pythagoras

    JamiiForums Tanzania Msaada: Barabara gani itakuwa rahisi kwa leo na mvua hii?

    .
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

    Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
  15. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dar es salaam tuipime CCM na viongozi wake kupitia mvua hizi zinazoendelea kunyesha

    Wakuu CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua zinazonyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hewa, kesho zitapungua sana!

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini imesema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika bahari ya hindi. Mvua hizi zinatarajiwa kupungua sana siku ya kesho. Chanzo: Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

    CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki...
  18. Somoche

    JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane. Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua. Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mlituahidi SGR Dar - Moro kuwa tayari toka Novemba mwaka jana 2019, hadi leo ni visingizio tu, mara mvua, mahandaki, mara madaraja, blah blah, blah!

    Tuliambiwa kwamba awamu ya kwanza ya SGR Dar es Salaam kwenda Morogoro, kupitia Pugu, Soga, Ruvu, na Ngerengere ujenzi wake ungekamilika mwaka jana November 2019. Mkasema ooh, kuna handaki karibu na Morogoro inabidi lichimbwe limechelewasha kazi (yaani kama vile hamkujua kuwa kutakuwa na hilo...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Wana JF, Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi. Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
Back
Top Bottom