Aina ya mavazi yenye muonekano mzuri ukiwa kazini katika kipindi cha mvua

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
1618216137448.png

Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano mzuri zaidi. Kwa mwanaume vaa suruali na sweta fupi kiasi, sweta inayofika hadi shingoni ina mvuto zaidi 'pull neck'. Unaweza kuvaa na skafu shingoni ili kuzuia baridi kama utavaa sweta yenye shingo fupi.

Koti, sweta na buti. Hii itapendeza zaidi kama ukivaa koti refu na sweta linalofunika shingo. Buti zisizo na visigino ni nzuri zaidi, unaweza kuvaa na suruali, sketi au gauni. Usivae buti zenye visigino virefu, zinaweza kusababisha uanguke kwenye mvua.

Koti na buti, au snika. Hapa unaweza kuamua kuvaa kiatu kipi kutokana na aina ya koti na vazi la chini. Ukivaa sketi au gauni fupi inapendeza zaidi uvae na koti refu na buti refu kwenda juu ili kuzuia baridi miguuni.

Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi lako katika kipindi cha mvua.

Picha
 
Back
Top Bottom