mvua

  1. Libya

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Wasalaam Jamani leo mvua imeanza asubuhi sana na bado inanyesha kama yote wakati huu. Tunaokuja na mwendokasi mjini panapitika Jangwani au ndio imetoka tukutane kesho? ====== TAARIFA YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya mrejeo kuhusu...
  2. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Dar tumia hii mvua ya leo kuwa fursa kwa kuwavusha watu kwenye mifereji

    Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu, Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa. Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa. Jioni ukiingia mfukoni una 20...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua Afrika Mashariki: Vimbunga pacha kupiga Alhamisi, Ijumaa

    Vimbunga viwili vinatarajiwa kutua katika pwani ya Afrika Mashariki usiku wa leo Alhamisi na kesho Ijuamaa, mamlaka za hali ya hewa zinaripoti. Eneo la Puntland nchini Somalia ndilo linalotarajiwa kuathirika zaidi na tufani hiyo. Kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa, mgandamizo wa hali ya...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua, mafuriko na maporomoko zawaathiri watu milioni 3 Afrika Mashariki

    Kiasi cha watu milioni 3 kote Afrika Mashariki wameathiriwa na mvua, mafuriko na maporomoko ya matope katika wiki za karibuni. Zaidi ya watu 200 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya matope huko Afrika Mashariki tangu kuanza kwa msimu wa mvua, ambao bado haujakwisha. Watalaamu...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Madhara ya mvua Babati: Kaya zaidi ya 400 zakosa makazi

    Zaidi ya ya Kaya 426 Wilayani Babati Mkoa wa Manyara hawana makazi baada ya Nyumba zao kuanguka na nyingine kuzingirwa na maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani humo huku pia mashamba na miundombinu ya barabara ikiathiriwa vibaya. Vijiji vilivyoathiriwa ni Moyamayoka ambako...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua yaendelea kuipiga Kenya

    Kenya inapambana na mafuriko na mvua kubwa iliyoanza mwezi uliopita. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetahadharisha kuwa hali hiyo itaendelea kushuhudiwa hadi wakati wa msimu wa Krismasi. Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki baada ya...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

    Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu wakulima kutumia mvua za msimu zilizoanza kunyesha na za vuli kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi

    Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtu afariki katika Mtaa wa Stakishari kutokana na mvua zinazonyesha jijini humo

    Mvua iliyonyesha leo Alhamisi Novemba 21, 2019 jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imesababisha kifo cha Mwenga Agustino mwenye umri wa miaka 78 katika mtaa wa Stakishari. Inaelezwa kutokana na maji yaliyokuwa yamezidi katika eneo hilo, Agustino alikuwa akifanya jitihada za kujiokoa kutoka...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mvua zaharibu nyumba zaidi ya 360 Songwe

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana jioni Mkoani Songwe imesababisha uharibifu wa nyumba Zaidi ya 360 Katika Wilaya za Mbozi na Momba pamoja na kujeruhi watoto wawili. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen Nicodemus Mwangela mapema leo ametoa taarifa hiyo mara baada ya kukagua hali ya...
  11. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi mvua hizi ni balaa tupu

    Hizi mvua hizi ni balaa tupu. Kama baharia uko mwenyewe ndani bila jiko linaloeleweka, lazima mwili upungue; baridi inapenya hadi kwenye mifupa. Mabaharia huu ndio msimu wa kuoa huu, ukizubaa tu lazima ujifunike na ngumi kwa baridi inavyopenya.
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

    Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali. Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo...
  13. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Nimemiss sana mvua kubwa na radi yani nikikumbuka homu machozi yananitoka

    Mzuka wanajamvi! Homu ni homu tu. Yani navuta kumbukumbu ya miaka ya nyuma Arusha. Mvua kubwa yenye radi raha hasa ikianza Ijumaa usiku na wikendi umenunua msosi wa kutosha huko na mpenzi wako ndani. Utamu wake unanoga zaidi ukiwa kwenye nyumba ya bati zile kelele. Mimi ilikuwaga inanikuta...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mvua siitaki, ni kero

    Sasa imekuwa kero, ingawa wengi watasema mvua ni baraka. Kuna baraka ambazo ni kero. Mvua ya sasa ni kero tupu! Siitaki tena.
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mvua kubwa kwa siku tano kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa yatolewa

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imetoa utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa siku tano ambapo mvua kubwa inatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Mara pamoja na Magharibi mwa mkoa wa Simiyu. Mamlaka hiyo imesema uwezekano wa kutokea kwa mvua hizo ni wa wastani huku...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli Nchini lasitisha safari zake za Ukanda wa Kaskazini kutokana na mvua

    Shirika la Reli Nchini limewataarifu wateja wake na kuwaomba radhi kutokana na kusitishwa kwa huduma za usafirishaji mizigo katika ukanda wa Kaskazini yaani mikoa ya Kilimanjaro na Tanga kuanzia Oktoba 26, 2019. Limeeleza kuwa usitishwaji huo ni kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan

    Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan. Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba. Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja. Mito 15...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mvua zasababisha abiria wa Dar, Arusha na Kilimanjaro kukwama njiani zaidi ya saa 20

    Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Misri yakumbwa na mafuriko makubwa baada ya mvua kunyesha kwa siku 2 mfululizo

    Watu Kumi wamekufa na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya mafuriko makubwa kuikumba nchi ya Misri hasa katika mji wa Alexandria. Mamia ya watu wamelazimika kubaki katika nyumba zao na kushindwa kwenda kazini, baada ya mitaa mingi ya mji huo kujaa maji na kushindwa kupitika. Mafuriko...
Back
Top Bottom