muziki

  1. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

    Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mawazo juu ya kuanzisha Disco la kucheza muziki

    Siku hizi naona mambo yamebadilika, night clubs zimejikita zaidi kwenye kuuza vinywaji kuzidi uwaja wa kucheza (dancig floor), hii nimeona inanyima watu ule mzuka wa kwenda club kwa jili a kucheza. Kiukweli mimi ni mgeni kwenye hii biashara ila zamani nlikuwa napenda sana kwenda disco zenye...
  3. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Anayefanya kazi Maktaba ya Muziki TBC 1 achunguzwe

    Habari Wadau Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya. Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mabando yanashusha muziki wetu, kwa sasa ni shughuli pevu kupata views milioni

    Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia. Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu wanaingia kwa machale, Views chache pia zinawapunguzia mapato wasanii, youtube wanalipa kwa kigezo...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
  6. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum kwa Prodyuza DONCHA na Maprodyuza wote Tanzania ili kuboresha Muziki wa Tanzania

    WARAKA MAALUM KWA PRODYUZA DONCHA. NILIJIIMARISHA KIMUZIKI NA UIMBAJI ULIO BORA KWA KUTUMIA BEAT YA AINA YOYOTE ILE MWAKA2014 KWA PRODYUZA "DONCHA" WA MWANZA.(DJ. DON NALIMISON) Producer DONCHA nilimfahamu kupitia Gabriel Samalu(Mlapa) wa Global Publisher mwaka 2014 nanikafanya Albam yangu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify. 1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M 2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M 3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M 4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
  9. SideMakini

    JamiiForums Tanzania Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki

    Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki. Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠 Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania One six aachana na muziki wa kidunia

    Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili. Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi amekutana navyo ili kumkatiza tamaa. kwa sasa one six ataimba nyimbo za injili pekee wala hatajihusisha na...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Muziki wa leo umeshindwa kuwa bora kuliko wa zamani

    MUZIKI WA LEO UMESHINDWA KUWA BORA KAMA ZAMANI My fellow citizens natumaini mko poa. Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Kwa siku kadhaa nilikuwa kimya hadi wengi wenu mkawa mnaniuliza nini kimenipata. Niwatoe hofu kwamba niko salama kabisa ila kwa sasa nimeona niongeze elimu kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania August Alsina kuacha kufanya muziki?

    August Alsina kuacha kufanya muziki? Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki. - Ktk IG Yake aliandika, 'Kwa wote wanaonipa ushirikiano, hizi kazi mpya zitakuwa za mwisho kutoka kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya muziki wa Disko Tanzania

    IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA Promasika / blogger 0 Promasika.Com Na Mwandishi wetu, Washington, DC Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO iliyokua na kichwa cha habari "WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awataka wamiliki wa redio kulipia muziki wanaopiga

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili kuwawezesha wasanii kupata haki zao. Bashungwa amesema hayo jana Ijumaa Septemba 3, 2021 wakati akizinduzi kituo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Muziki

    NGUVU YA MUZIKI Kila mikimtazama binti yangu Darina akijaribu kumumunya maneno na kucheza kwa hisia kila akiskia nyimbo anayoipenda ama kuifahamu kuipitia simu ya mama yake au radio au hata nikijaribu kumuimbia mwenyewe nyimbo ambazo nimemkaririsha japo hawezi kuziimba vyema sababu ya umri wake...
  16. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Tulio tayari tuungane kuanzisha kikundi cha muziki

    Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya Niende kwenye mada husika Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya kujikomboa kimaisha kupitia fani ya Muziki kuna wazo limenijia la kutafuta watu ili tuweze...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Muziki wa Tanzania: Wimbo gani ulikufanya kuwa shabiki au kumfuatilia msanii na kazi zake?

    Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify hap hapa TZ

    Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify 1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M 2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M 3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M 4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
  19. G

    JamiiForums Tanzania 50 Cent, Ghetto Economics na Muziki wa Rap - 2

    50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 2 YO! Peace, Karibu ufuatilie sehemu ya pili ya mfululizo wa maandishi juu ya 50 Cent, Ghetto Economics na Muzikiwa Rap. Maandishi haya yatakufundisha mengi juu ya business management, Entrepreneurship, Marketing na pia muziki wa Rap. Am your...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa show za Ipupa: Muziki wake hauvutii japo ana kipaji

    Nimeona tangazo la kuahirishwa kwa show za Fally Ipupa Dar na Mwanza.Sikusitushwa hasa kwa sababu ana miziki mingi ya kubahatisha isiyo vutia kama ambavyo ukilinganisha na mkongwe Koffi Olomide. Fally Ipupa zaidi ya urembo na kukata mauno,ana kipaji cha sauti nzuri. Hata hivyo sauti...
Back
Top Bottom