RC wa Mwanza jana katangaza kuwa kuanzia leo, mikusanyiko inayoruhusiwa jijini Mwanza ni ile inayouhusiana na ibada na misiba ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya korona.
Assume yupo sahihi kuwa imekuwa proved scientifically maambukizi ya korona hayawezi kutokea ibadani na misibani.
Sasa...
50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 1
UTANGULIZI
Peace Family
Kwenye Kitabu nilichoandika cha “Uelewe Utamaduni wa Hip Hop” kuna sura inajulikana kama “Vita vya Kimashahiri mjini New York” na kati kati ya vita hiyo muhusika muhimu kabisa anajulikana kama Curtis Jackson au maarufu...
Nawapa hi! members wote wa Jf hasa wana "Entertainment", matumaini yangu muwazima wa afya kabisa kwa wale waliokumbwa na matatizo hapa karibuni hasa hasa moto wa eneo la Kariakoo na matatizo mengine nawaombea kwa m/Mungu awasimamishe tena.
Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja, kwa hivi...
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
Salam wanaJF.
Katika uzi huu nitaelezea Historia ya Muziki wa Rumba la Kikongo. Hii itagusa Congo zote mbili yaani Kongo Brazzaville na Kongo Kinshasa. Huu ni mkusanyiko kutoka vyanza mbalimbali, na hasa imehamasishwa na Mtafiti wa Chimbuko na asili ya Muziki (Ethnomusicologists), Masoud...
Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta unaingia kwenye bongo fleva- dansi.
Ukiangalia maudhui kama kucheza na hata nyimbo zake utakuja kubaini...
Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
Habari wakuu,
Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena.
Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa.
Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa.
Sera za Chadema sijajua zinasemaje.
Mwenye nazo atujuze Tafadhali.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO.
Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii.
Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu.
Najua kuna wengine wapo US uko saivi.
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi.
1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza.
2. Jazz, huu wa watu weusi.
3. Hip hop...
Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV .
Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa mwenyewe .
Habari za muda huu wadau?
Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo
" Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao.
Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.