muziki

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kijana anaweza?

  2. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda vyombo vya muziki, bass guitar na combo yake zinauzwa kwa bei nafuu

    Habar wakuu,! Bass guitar pamoja na combo yake vinauzwa kwa pamoja. Being ni laki tano(500000). Combo ilikuw inatumika kwa askofu Gwajina haina tatizo inagonga muzki mzito unaotak ila kwa nyuma haina mfuniko wake. Bass guitar ni mpya bado, imetumika miezi mitatu tu. Atakae hitaji anicheki...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya soko la Muziki na Filamu Tanzania kama ambavyo Don Nalimison anachambua

    TATHIMINI YA SOKO LA MUZIKI TANZANIA NA WASANII WA FILAMU Naitwa Don Nalimison ni moja ya Wanamuziki nchini Tanzania ninayefanya mziki katika Lugha ya Kiingereza cha Kiafrika. Leo nataka tuangalie soko lilivyo. ONLINE DISTRIBUTION MARKET Tanzania bado hatujafikia soko la Online kwa kuwa 10% ya...
  4. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa Tuzo za Muziki Tanzania "Tanzania Music Awards"

    HISTORIA YA MWANZILISHI WA TUZO ZA "TANZANIA MUSIC AWARD" Historia ya shujaa SOMA HISTORIA YA SHUJAA HUYU WA BONGO FLEVA ALIYESAHAULIKA JAMES Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ siyo jina geni katika gemu la Bongo Fleva lakini ni wangapi wanamkumbuka na wanautambua mchango wake katika gemu la Bongo Fleva...
  5. Slim5

    JamiiForums Tanzania Ya kale ni dhahabu: SAY - Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa Muziki

    Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum Abdallah Yazid, maarufu ‘SAY’, hata ikaacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa dansi Afrika Mashariki...
  6. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

    Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana. Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...
  7. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

    Hope mpo good mapopo wenzangu Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanafanya muziki, kila kifaa kinapigwa live hakuna disortion

    Tazama hii show wimbo wa now we are free wa hans zimmer ukipigwa live, kila kifaa kinapigwa unakiona na kukifeel, kuanzia violin, marimba, na takataka zote. Huu mziki si wakiwango cha dunia hii
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Biti za Muziki

    Kwa mtu anayejua muziki vizuri, akiangalia kesi kadhaa amazo zimetokea huko Youtube kwa madai ya kuibiwa biti, akaweza kukubaliana nami kuwa kesi hizo zote ni frivolous na zinatakiwa kuwa zinatupiliwa nje. Sababu kuwa ni kuwa biti zote za muziki zina msingi wa aina moja. Ndiyo maana ingekuwa ni...
  10. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Muziki na siasa

    Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki nao, wengine kwa upenzi wa kambi moja au nyingine ya kisiasa, au kwa kuona fursa ya kutengeneza fedha...
  11. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Alikiba, Harmonize na Diamond meza moja Ikulu

    Mastaa wabongo ambao hawaivi au kupikwa chombo kimoja wapangwa meza moja ya wageni waalikwa ikulu Chamwino Dodoma kwenye sherehe za kuweka mchanga. Je, nafsi zao wanaongea nini?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika tamasha la Muziki wa Shukrani Kawe jijini Dsm

    Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm. Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanamuziki Barani Afrika wanajua kuimba Muziki aina kama ya Oliver Ng'oma?

    Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya. Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu, Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana...
  14. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Upanga kuliwahi kuwa sehemu muhimu katika Muziki wa vijana miaka ya 60, 70 na 80

    KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa peke yake katika kutunga, kurekodi na hata kufanya kazi yake jukwaani. Muziki wa dansi uligawanyika...
  15. John Kitime

    JamiiForums Tanzania Majanga kuzuia shughuli za muziki si mara ya kwanza nchini

    Ukubwa wa janga la Corona umeilazimu serikali kutangaza kusitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu ikiwemo shughuli za muziki. Katika historia yangu kama mwanamuziki, hii itakuwa mara ya tatu kwa muziki kusimamishwa nchini kwa amri ya serikali. Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 1984, wakati huo...
  16. Adamjuma94

    JamiiForums Tanzania Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Muziki wa Msumbiji

    Naona huu uko kama Mbaqanga wa Afrka ya Kusini; je hii ndiyo aina pekee ya Muziki huko Msumbiji?
  18. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Wasanii mnaofanya muziki mzuri endeleeni, msikatishwe tamaa na mashabiki njaa

    Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo. Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri. Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na pombe tu, msiwasikilize watu wachache walionyimwa hekima. Tuko pamoja, tutawasapoti tu. Muziki hauna...
  19. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania YouTube sahivi ndo kipimo cha muziki mzuri

    Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri. Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio . Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje , pia na Television hapo hata sisi tusiokuwa na smart phone nyimbo Tutailewa ...na msanii atapata...
  20. mayowela

    JamiiForums Tanzania Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

    Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak. Kwangu hwa ndio walikuwa...
Back
Top Bottom