50 Cent, Ghetto Economics na Muziki wa Rap - 2

Gego Master

Member
Jul 19, 2021
5
14
50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 2

YO! Peace,

Karibu ufuatilie sehemu ya pili ya mfululizo wa maandishi juu ya 50 Cent, Ghetto Economics na Muzikiwa Rap. Maandishi haya yatakufundisha mengi juu ya business management, Entrepreneurship, Marketing na pia muziki wa Rap. Am your Hip Hop Philosopher Gego Master, Lets go!

Kidogo kidogo akakomaa kwenye biashara hiyo na sasa hapo ndio akakutana na huyu mtu wa kuitwa Red ambaye jina lake halisi ni Jermaine ambaye alimkomaza zaidi kwa approach zake za kibiashara. Huyu Red au Jermaine alikuwa mtoto wa mwisho wa muuza unga maarufu aliyejulikana kama Godfather ambaye aliifanya biasharahiyo ya unga kama Family Business.

Kutoka kwa Red 50 Cent alijifunza zile zijulikanazo kama 4Ps kwenye marketing yaani Product, Price, Place na Promotion na pia juu ya Demand na Supply. Kwenye uuzaji wa madawa kuna kitu kinaitwa Territory, sehemu ambapo 50 Cent alikuwa ana-Hustle ni sehemu ambayo mtandao wa Godfather ulikuwa unamiliki hilo eneo na Red baada ya kutoka jela aliamua kufanya maboresho kadhaa ya jinsi product za Godfather zitakavyokuwa zinauzwa.

Kwanza hizo product za Godfather ambazo Red alikuwa anazisimamia zilikuwa na packaging tofauti na product zingine, na alihakikisha kwenye hiyo territory yao hakuna product nyingine inauzwa na pia alihakikisha kiasi cha unga kwenye kipimo ni kikubwa kuliko wauzaji wengine Red alikuwa anataka Fast Flip na sio Hard sell.

Kwake ilikuwa ni bora faida kidogo lakini mauzo kwa wingi. 50 Cent hakuelewa kabisa hilo somo kwani yeye na rafiki yake Ray-Ray walijaribu kutumia packaging ya Red kuuza product zao ila walishindwa kwani kiwango cha unga ambacho walitakiwa waweke kwao ilikuwa ni hasara.

Ndio maana 50 Cent anasema hawakuwa na jinsi isipokuwa kufanya kazi chini ya Red na hapa namnukuu 50 Cent akielezea jinsi Red alivyomfundisha concept ya Fast Flip na akiitofautisha na Hard sell;

Red told me that I was working with a flawed business model. “You have to negate the competition by offering a better product,” he said. “Once you’ve negated the viability of the competition, you can concentrate efforts on increasing your business.”

“There’s only three modes to increase your business,” he said. “First off, you can increase your number of clients. But sooner or later, you’re gonna reach market saturation. The market gets tapped. It’s like you can’t sell pictures to a blind man. When you look around this current marketplace, all you see is market saturation. So that leaves the other two modes of increasing business: increasing the average sale per customer or increasing the amount of sales per client—you know, the number of times said client will return for a purchase. Now, it’s hard to increase the sale per client because a fiend that’s coming for ten is gonna come for ten, and a fiend that comes for twenty is gonna come for twenty.

If you decrease the amount or quality of the product to increase your profit per sale, you’re gonna lose the clientele. Fiends may be fiends, but they ain’t stupid. They’re bargain shoppers. A wise, entrepreneurial man such as myself has to offer the biggest and best product available, which will result in a greater bottom line in the tangible form of return customers. When I combine such a strategic approach vis-à-vis an increased revenue base for my downline—such as volume discounts and performance bonuses, et cetera and so forth—I create a workforce that is just as invested in the success of my enterprise.”

Lakini uhusiano wa Red na 50 Cent haukudumu sanakwani week chache baadae Red alipigwa risasi kichwanina kufariki, kitu pekee 50 cent alichobaki nacho ni elimuya uchumi wa mtaani yaani Ghetto Economics kutokakwa Red, Sincere Pamoja na Trevor Elimu hiyo ndiomsingi mkuu wa hustle za 50 cent kwenye kila kituanafanya. Alitumia mbinu za kibiashara kwenye uuzajiwa madawa kwenye kuuza muziki wake wakati badoyupo Handakini.

Uchumi wowote unaendeshwa na kitu kinaitwa Value. Somo juu ya Value ni muhimu sana kwenye Ghetto Economics, Somo hilo 50 Cent kalielezea vyema sanakwenye kitabu chake kipya kabisa kijulikanacho kama“Hustle harder Hustler smarter” kuna sura nzimainajulikana kama “knowing your Value”

Mwanzo kabisa wakati Hip Hop inaanza jamii ya Hip Hop ndio walikuwa watu wa kwanza kutambua thamaniyao. Mwanzo kabisa Rakim alisema Paid in Full. Hip Hop inawafanya watu wasimamie maslahi yao yaende sawa nakile ambacho wanakiwakilisha. Lakini je ni mara zoteunapata ujira unaostahili kwa taaluma yako? Au kipajichako?

Jibu ni hapana, kitu muhimu ni kuwa na strategy, na mojakati ya Negotiation strategy ni Patience. Inawezekanaukawa unalipwa chini ya kiwango cha taaluma yako au kipaji chako hii ni kwasababu hukuweza kusubiri perfect deal. Si vibaya kama una malengo chanya kujua kwambanaanza kupata maslahi madogo ukilinganisha na uwezowangu, kwani lengo kuu si kubaki katika nafasi hii balikutumia nafasi hiyo ili uende kwenye nafasi ambayounastahili.

1627041048561.png

Siku zote 50 Cent amekuwa ni mtu wa kuangalia value yake. Kabla hajawa signed na Sheddy Aftermath Records kulikuwa na deal kadhaa mkononi.Mara nyingi kwaMarekani msanii anakuwa na management ambayo ndioinasign deal kwa niaba yake. 50 Cent siku zote alijaribukuangalia ni kwa namna gani ataweza kuzitoa hizomanagement kwenye deal zake na asimame mwenyewekwani anatambua thamani yake. Kuna muda libidi alipekiasi kikubwa cha fedha kuzitoa hizo management hapokati kati, kwani mara zote management hizo zimekuwazikiwaza what is best for their companies na sio msanii.

50 Cent anatufundisha ya kwamba “You cannot, under any circumstances, compromise when it’s your vision on the line. You have to be prepared to go against popular opinion and turn
down money—even if it jeopardizes your relationships—until you’re confident you’ve found the right opportunity.”

1627041048617.png

Wakati 50 Cent ana-sign deal na Eminem anasemahakuangalia kiwango cha hela ambacho alilipwa$1,000,000 kwani kiwango hicho kilikuwa ni kidogo tu, yeye focus yake ilikuwa ni faida atakazopata kwa kuwakwenye deal hiyo moja wapo ni kumpora Eminem mashabiki wake wa kizungu. Good strategy. Na mwishowa siku kupitia deal za hapa na pale aliweza kupata helanyingi kuliko hizo alizosign kwenye mkataba. Hivyo 50 Cent anatusisitiza ya kwamba kwenye hustle zetutusiangalie sana first paycheck tuangalie kwenye long term potential kwa chochote tunafanya.

50 Cent sio mnywaji wa kilevi chochote na wala havutibangi au sigara. Alipofikiria juu ya investment kwenyemaji ya kunywa yajulikanayo kama Vitamin Water ilikuwa ni kwasababu yeye sio mlevi na alichokuwaanakiona kwenye event au party karibu zote majihayakosekani. Kwake yeye aliona sio sahihi sana kwawasanii kuwa brand ambassador wa product za watuwengine tu wakati wanaweza kutengeneza za kwao.

Anasema siku moja aliingia supermarket na kukuta majiambayo yako branded yanauzwa kwa $3 na ambayohayako branded yanauzwa $0.75 na anasema ukimfumba macho alikuwa hawezi kutofautisha kati ya branded water na ambayo hayana brand yoyote.

Technique aliyotumia kufaya investment kwenye kampuni inayozalisha Vitamin water ilikuwa nzuri sana. Kuna deal ya commercial ya Addidas sneaker wakati anafanya hiloTangazo akiwa Gym akaweka maji ya Vitamin Water nakampuni ya Glacéau inayotengeneza maji hayo ilipoliona hilo Tangazo wakataka kumpa 50 cent awe brand ambassador na hapo ndipo akawaambia kuliko nyinyi mnilipe mimi ni bora mimi niinvest kwenu, niwe sehemu ya wamiliki wa kampuni nipate Equity. Ukiisoma hiyomovie yote mpaka 50 cent anakuja kumiliki VitaminiWater kwa kweli alitumia uelewa wa juu sana wa Ghetto Economics.

Ukiisikiliza ngoma ya 50 Cent “I got Money” anakwambia”I took quarter water sold it in bottles for 2 bucks Coca-Cola came and bought it for billions, what the https://jamii.app/JFUserGuide” maji kila mtu alikuwa anayaona hapoMarekani, lakini 50 Cent aliweza kuwekeza kwenyeVitamin Water na kwa kutumia fan base yake aliwezakupromote vyema kama brand ambassador na kamammiliki pia na mwisho wa siku coca cola waliyanunuahayo maji kwa deal ya mabilion. This is Ghetto Economics at its best.

1627041048667.png

1627041048720.png

50 Cent anazungumzia juu ya deal yake na Starz kwa ajiliya series maarufu ya Power. Akidai kwamba aliichukuaile deal kwa kiwango kidogo sana cha pesa, kwani kwakeyeye pesa haikuwa lengo la kwanza wakati anaandaaseries hiyo. Stars walimpa $17,000 kwa episode mojahivyo kwa episode 8 za series moja alipewa budget yajumla ya $136,000 na wakati huo huo yeye akiwaexecutive producer wa show hiyo.

Kwa viwango vyote vya Television series hii ilikuwa nideal ndogo kwa director yoyote kuichukua. LAKINI kwasababu malengo yalikuwa ni makubwa kuliko first check 50 Cent hakuicha deal hiyo.

Alipiga kazi kwelikweli na alifanikiwa kuipa Starz Tv series wateja kulikowalivyowahi kuwaza na mwisho wa siku wakasigncontract mpya ya $150 Million. Hivyo kutumia patience kama strategy ya kutambua value yako ni tactic nzuri kwamtu yeyote aliyejifunza Ghetto Economics.

Itaendelea

Gego Master,
Hip Hop Philosopher, Scientist Emcee
G.E.G.O Master
 
Mkuu malizia mambo mazuri haya tunajifunza vitu vitakavyo tusaidia. Binafsi namkubali 50 Cent mno ndio maana hata avatar yangu nimeweka picha yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom