Muziki wa Tanzania: Wimbo gani ulikufanya kuwa shabiki au kumfuatilia msanii na kazi zake?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
2,099
2,000
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na nilivutiwa sana kumjua aliyeimba huo wimbo ni nani.

Na msanii huyo akawa ndio kiongozi wa wasanii wote nilioanza kuwakubali tangu hapo. Na si mwingine bali ni;

DIAMOND PLATNUMZ: kamwambie.

Wengineo;
  • Vanessa Mdee : tangazo la airtel money( kipindi hicho).
  • Ben Pol: Jikubali
  • Madee Pombe yangu.
  • Tunda man: Nipe ripoti
  • Nandi : Nagusagusa.

Na wengineo wengi.
 

Zidani

JF-Expert Member
Apr 5, 2021
973
1,000
Mr II(Sugu) ft Stara Thomas - Wanachotaka.

Juma nature - Mtoto Iddi.

Jay moe - Tingisha.
 

Mimi sikulamba sukari

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,641
2,000
Nipe report ilitoka kabla ya Kamwambie ya mondi na ilivuma Sana kuanzia mwaka 2008 Hadi mwaka 2009
Inamaana hukuwahi kuielewa hiyo pini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom