muziki

  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
  2. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kwanza la muziki kufanyika anga za mbali | International Space Station

    Elon Musk (Space X), NASA, ESA, Cercle na Arianespace wameanda tukio la kwanza la muziki mubashara kutokea kituo cha kimataifa cha anga International Space Station - ISS. Tukio hili linatarajia kufanyika Jumatatu ya tarehe 5 AprilI, 2021 litakalo wahusisha wanamuziki Daft Punk kutoka Ufaransa...
  3. Cyrustj

    JamiiForums Tanzania Ushindani wa muziki kutoka Tanzania

    MUSICIANS ACROSS AFRICA / WAIMBA MIZIKI BARANI AFRIKA. Tamasha la ushindani wa muziki litajumuisha nchi zaidi ya 13 barani Afrika tukianza na TANZANIA. Hivyo tunaomba wanamuziki kujisajili mapema kabla ya kesho tarehe 31/03/2021. Tafadhali jisajili kwa kubofya linki hii REGISTRANTS...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tabora: Sakata la Kanisa lililojengwa kuziba barabara na kupiga muziki saa 24 kumbe ni genge la wahuni ( 5 )

    Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo 1. Kinachodaia kanisa...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

    Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui. Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi hii naweza kusema yupo mbele ya wakati. Anaweza kufanya aina mbali mbali za muziki na akaua. Anaweza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

    Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 za siku na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa stop kuendelea na ujenzi

    Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

    Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali?

    Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali kwenye nyanja zote za Muziki kuanzia Afrika na nje ya Afrika, Nani zaidi Wizzy au Davido
  10. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Muziki kwa laki nne

    Niaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi. Si Mnajua Geto la Mwanaume halijakamilika Bila laptop na mziki fulani wa kiaina. Kwa wataalamu wa masuala ya mziki na gharama zake je naweza pata mziki gani unaoridhisha kwa hio pesa? Iwe Woofer au HT...
  11. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

    Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Rwanda muziki kwao ni chakula

    Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa Na unadumu hauchoshi kabisa. Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu.. Kuna wale Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha

    Wakuu naomba mwenye kuzijua zile ngoma kali za Hip hop zinazogusa maisha yani zinazoimba kuhusu Haso zitajwe hapa nahitaji kuzipakua. Mafano kama zile za Darasa. Sikati tamaa,Nishike Mkono n.k Majibu yenu plz
  15. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ngapi za muziki?? Orodhesha unazozifahamu na baadhi ya nyimbo zake

    Mfano Sweete reggae --Busy signal-come over Hip hop--coolio-i see you when u get tgere Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine Country-kenny rogers-gamble Rnb-chris brown-with you Morden Taarabu--jahazi-najiamin .... .... ..... ..... .... Tuendeleee
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6? Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Muziki na Siasa ya Wasafi Tour 2020. Eti Wamesahau

    Ninapokumbuka muziki na siasa namkumbuka msanii aliyevuma sana nchini , wakati huo hapakuwa na Diamond wala nani , huyu ni MARLAW alikuwa na kipaji sana na kuelekea kampeni za urais 2010 nyimbo zake zilikuwa HITS kwenye radio top ten zote Mwaka 2010 alipata deal la kampeni akazunguka nchi nzima...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Kassimu Amtembelea na Kumjulia Hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Nchini King Kiki

    Mhesh Kassimu Majaliwa amemtembea nguli huyo wa muziki Nchini almaarufu Mzee wa Kitambaa Cheupe Nyumbani kwake leo.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

    Nimeona mashabiki wachache wa Chadema wameanzisha Uzi kwaajili ya kutopiga kura kwa Wasanii wanaoshabikia CCM unajua Kuna vitu vinachekesha Sana na ukute hao watu Ni watu wazima na wengine wanawatoto yaani unawapangia wasanii Cha kumshabikia mbona wao hawajakupangia chama Cha kumshabikia Nani...
  20. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

    Master P Sisco Dru Hill ODB Laurine Hill Shania Twain KCI & JOJO Keith sweet REY J MONICA COOLIO CRAIG DAVID ALL 4ONE Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama: Tyreese Ice Cube Quincy Ludacris XBIT Willy Smith Qeen Latifa DMX Wengine wamekuwa majaji kwenye "BSS" za huko majuu kama...
Back
Top Bottom