Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi.
1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza.
2. Jazz, huu wa watu weusi.
3. Hip hop, huu kila mtu anajua umeanzishwa na watu weusi.
4. RnB
5. Blues, huu ni wa mablack na chanzo chake ni wao.
6. Country, huu ni mchanganyiko lakini watu weusi wana mchango mkubwa sana, hata kifaa kinachopendwa sana na waimba country, banjo, asili yake ni watu weusi.
7. Rock, huu ni aina ya muziki uliosambaa zaidi duniani na asilimia kubwa unafanywa na wazungu lakini asili yake ni mtu mwesi ukianza kama Rock n Roll. Waimbaji wa mwanzo wa Rock karibu wote walikuwa watu weusi.
Kwanini watu weusi wana influence kubwa sana kwenye muziki duniani?