musoma

Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. FOX21

    JamiiForums Tanzania Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Ndugu zangu mnaoishi Musoma kwanza niwape pongezi kwa jinsi mnavyo pambana kupata mkate wenu wa kila siku. Mkoa huu wa MARA japo una wakazi wengi wenye elimu ya sekondari na kuendelea ila nahuzunika kusema kundi kubwa la vijana wanahangaika mitaani kwa kukoswa ajira za kueleweka na kujikuta...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Etaro Sekondari Yadhamiria kuwa na High School ya Somo la Kompyuta - Jimbo la Musoma Vijijini

    ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro Akaunti ya Shule: Benki: NMB Musoma Akaunti Na: 30301200341 Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  8. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Musoma kimegharimu milioni 366 na siyo milioni 802

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo tarehe 19 Novemba, 2023 amepokea taarifa na kukagua ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Butiama kinachoendelea kujengwa katika Wilaya ya Butiama. Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua na kupokea maelezo ya mradi huo, Mhe...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Unaendelea Musoma Vijijini: Kisiwa cha Rukuba Kimeanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari: *25 za Kata (Serikali) *2 za Binafsi (Katoliki & SDA) Sekondari mpya tano (5)...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kujenga Barabara Kuu Musoma Vijijini kwa Kiwango cha Lami

    SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri Innocent Bashungwa alifanya ziara ya kikazi Musoma Vijijini kwa lengo la kuwatoa wasiwasi wananchi...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Umwagiliaji Ndani ya Bonde la Bugwema - Jimbo la Musoma Vijijini

    Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini. Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji ilianza kujengwa Mwaka 1974. Mradi ukasimama. Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kwikerege Chaamua Kujenga Zahanati Yake - Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA KWIKEREGE CHAAMUA KUJENGA ZAHANATI YAKE Kijiji cha Kwikerege ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Musanja. Kijiji hiki hakina zahanati, kwa hiyo wakazi wake wanapohitaji Huduma za Afya wanalazimika kutembea umbali usiopungua kilomita tano (5) kwenda kwenye Zahanati ya Kijiji...
  14. Chai ya saa kumi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Musoma Vijijini

    (1) BARABARA 1a. Musoma-Makojo-Busekera TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili. Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
  16. PAMILA

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Musoma

    Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yachangia ujenzi wa Shule Shikizi ya Kitongoji cha Nyasaenge cha Musoma Vijijini

    SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini. Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria Yaendelea Kusambazwa Musoma Vijijini

    MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji. Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
Back
Top Bottom