Kilimo cha Umwagiliaji Ndani ya Bonde la Bugwema - Jimbo la Musoma Vijijini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini.

Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji ilianza kujengwa Mwaka 1974. Mradi ukasimama.

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameiomba Serikali yetu ifufue mradi huo. Serikali imekubali na kwenye Bajeti ya Mwaka huu wa Fedha (2023/2024) - kazi za, "feasibility studies & designing", zimeanza.

Jimbo letu lina mabonde makubwa mawili yenye vigezo vyote vya uanzishwaji wa kilimo kikubwa cha umwagiliaji - hayo ni mabonde ya Bugwema & Suguti.

KILIMO CHA UMWAGILIAJI NDIYO SULUHISHO LA UHAKIKA KWA UPATIKANAJI WA CHAKULA CHA KUTOSHA & CHA BEI NAFUU NCHINI MWETU!

Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO kutoka Kijijini Bugwema - imeambatanishwa hapa.

Tafadhali usiache kutembelea TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni:
www.musomavijijini.or.tz

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Alhamisi, 5.10.2023

View attachment 2772869
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.
FB_IMG_16964051229546339.jpg
View attachment 2773019View attachment 2773018
 
Back
Top Bottom