Natafuta kazi nipo Musoma

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,404
3,566
Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote,

Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni,

Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama itawezekana, 🙏🙏 sina maneno mengi ni hayo tu,

Asanteni
 
Musoma huko ukiwa mjanja ni heri uondoke tu vijana wengi huko kazi yao kubwa ni bodaboda. Piga boda mzee au hama mkoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom