musoma

Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

    Musoma, Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015. Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni Marais wote wa Tanzania kwa kutuheshimisha watu wa Mara katika teuzi za Taasisi 'nyeti' nchini

    Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu. Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni... 1. Waaminifu na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yusta Msowoya: Wanawake kuweni na kauli nzuri kwa waume zenu, wanaume hawapendi kudharauliwa na wanawake

    Somo @yustamsowoya amewahasa wanawake kuwa na kauli na lugha nzuri pindi wazungumzapo na waume zao kwani hakuna mwanaume anayependa kudharauliwa na mwanamke. Chanzo: EastAfricaRadio Huu upuuzi Wao wakawafanyie tu Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi siyo Sisi.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa haya Mauaji yanayotokea Mikoa mingine huu siyo wakati wa kutuomba Radhi wana Mkoa wa Mara kwa kutuchafua tokea zamani?

    Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu...
  7. Requal

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kusafirisha maiti (coaster) kutoka Dar to Musoma

    Wakuu habarini za humu. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri. Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Airport ya kwa Mwalimu Nyerere Musoma imeshaanza kujengwa?

    Watu wa Musoma na Mara waliahidiwa Airport na Raisi wao Samia, vipi imeshaanza kujengwa? Na maendeleo ya ujenzi yakoje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gari ya kubeba container 20ft inahitajika Musoma

    GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (1 Post)

    MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Musoma APPLICATION TIMELINE: 2022-04-12 2022-04-25 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kusikia kijiji cha Nyeregenge kilichopo Musoma?

    Nyeregenge ni kijiji kinachopatikana Musoma vijijini mkoani Mara. Kijiji hiki hakina shule, hakikuwa na msikiti wala kanisa, na kimepata kanisa lake la kwanza miaka ya hivi karibuni, 2017 ambapo Wakatoliki wamejenga kanisa. Kijiji hiki kina watu waliobobea kwenye mila na tamaduni ambapo hadi...
  12. Dialysis

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

    Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma. Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  14. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyakuta Musoma yamenishangaza sana

    Wapendwa kwema na amini sote tuna endelea kuchukua tahadhari zidi ya magonjwa ya kuambukiza hasa Covid 19. Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza Binafsi nilikuwa nakusikia tu Musoma nanilikuwa sijawahi kufika ila mwanzon mwa mwaka nimebahatika kufika uko Musoma mkoani Mara. Kiukwel nimeshangaa...
Back
Top Bottom