Musoma is a city in the east shore of lake Victoria of Tanzania. It is the capital of Mara Region, one of the administrative Regions of Tanzania. It also serves as the administrative centre of Musoma Rural District and Musoma Urban District.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness Project (TACTIC), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia...
Wakuu habari,
Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi.
Vigezo ninavyopendelea:
Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu)
Mahali pasafi na salama
Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila...
Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli.
Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?.
Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani.
Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi inayoajiri watu wengi wa Jimboni mwetu.
Wataalamu wa uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakiwemo wa...
Mzee Magonya, mkazi wa mtaa wa Nyamiongo, kata ya Makoko, ameilalamikia ofisi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) kwa kushindwa kumlipa stahiki zake tangu mwaka 2013.
Akizungumza na waandishi wa habari waliomtembelea nyumbani kwake kwa lengo la kupata ufafanuzi...
MATOKEO YA MJADALA WA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI, UELEWA NA UFAULU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI
Mgeni Rasmi: Ripoti & Zawadi za Ufaulu
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka alikabidhiwa Ripoti ya Matokeo ya Mjadala huo.
Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alikabidhi zawadi za ufaulu...
Wakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
SAFARI YA KUSISIMUA: DAR ES SALAAM - MUSOMA KWA X-TRAIL
Safari ya kipekee!
Leo tunazungumzia safari ya kipekee kutoka Dar es Salaam hadi Musoma—safari ndefu lakini yenye mandhari ya kuvutia, mabadiliko ya mazingira, na uzoefu wa kufurahisha. Safari hii siyo tu kwamba inahusisha mvuto wa...
Barabara hii imechoka sana hasa kipande cha Mwanza mpaka Nyashimo, lakini cha kushangaza TANROADS wanaitazama tu kila kukicha, barabara imejaa mashimo kila sehemu; sio katikati, sio kulia wala kushoto, ni mashimo kila upande.
Kuna baadhi ya vipande (kabla na baada ya Daraja la Simiyu) inabidi...
MUSOMA VIJIJINI YAENDELEA NA UJENZI WA "HIGH SCHOOLS" ZA MASOMO YA SAYANSI
Mahitaji makubwa ya sasa ya Dunia ni kuongeza wataalamu kwenye nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu (science, technology and innovation, STI).
Msingi mkuu wa wataalamu wa aina hiyo ni masomo ya sayansi kuanzia shule...
Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu.
Hayo yamejiri wakati Wataalam wa REA walipofika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA...
WANAFUNZI KUACHA KUTEMBEA KILOMITA KUMI KWENDA MASOMONI: WANAKIJIJI WAAMUA KUJENGA SEKONDARI YAO
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni vya Mayani na Tegeruka.
Sababu zinazohamasisha ujenzi wa sekondari ya Kijiji cha Kataryo:
(a) Kijiji cha Kataryo...
Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kumasaidia kulekebisha Nyumba yake ili kuondoka na mateso anayoyapitia kwa sasa.
Baada ya ombi...
MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Tarehe:
25 - 27 Machi 2025
Wataalamu:
1. Dr Zabron Kengera, UDSM
2. Dr George Kahangwa, UDSM
3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates
Washiriki...
UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI
Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia
Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA
Kumbukumbu:
Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo
Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
Halafu ilikuwaje katika Harusi yako ukanisahau kabisa Kunialika Mimi Kaka yako kutoka Mkoani Kwetu Mara kwa Wababe?
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Mrangi, Mnyiramba, Muha, Mnyamwezi na Mkara kaa mbali na huu Uzi Okay?
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Waliohudhuria Kikao hicho:
(i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo
(ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.