Mpaka sasa mmeshafanya kazi kubwa sana! Kesi za jinai huangalia Kanuni ya "Beyond reasonable doubt" na mpaka sasa meshatengeneza "doubts" kibao na hata Mh. Jaji anajua fika.
Mtafikiri Jaji hayupo na ninyi lakini ukweli ninamwona kabisa yupo na ninyi na mnafanya kazi kubwa sana.
Mwisho wa siku...
Nakuomba Mungu awalaani hawa wahuni waliouza gesi yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu.
Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi, wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na Ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati. Ubabe wa...
Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa
====
MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
baada
bahasha
bernard morrison
gsm
habari
hassan bumbuli
hukumu
huruma
kitu
kutoka
mungu
mwakalebela
rufaa
sana
simba
simba sc
uso
watangazaji
yanga
yanga sc
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka.
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida.
Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida...
Sitaki kupuunza nafasi za Viongozi wa Kiimani lakini haizuii ukweli kuwa wana nafasi ya kuielimisha Jamii zaidi ya kujaribu kuficha tatizo.
Ningetamani badala ya kufanya juhudi za kuomba mvua basi Wangechagua siku moja ya ibada watoke na Waumini wapande miti ili kutibu mazingira.
Mimi naamini...
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea.
Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje?
Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini.
Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
Mhe Deogratias Sanga Mbunge wa Njombe Kaskazini|Makambako amesema Rais Samia Suluhu ni mpango wa Mungu mwenyewe kupitia kwa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli,
<<<Hebu msikilize kwa makini>>>
Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi".
Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi.
Ipo...
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi...
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kigoma wameripotiwa kugoma kulipia huduma ya maji kwa kile wanachodai kuwa bidhaa hiyo inaletwa na Mungu.
Akizungumza katika mkutano wa nusu mwaka wa Wakala wa Usabazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kigoma, Meneja wa wakala huo wilayani...
Hii huenda ndio ikawa hotuba bora ya Conference of Parties (COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania
===
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi...
Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi.
Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini ya ulinzi kwa sababu mnajihusisha na vitendo vya ugaidi" yakawa yametofautiana na maelezo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.