Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
295
221
Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea.

Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Landson Tz
 
Karibu Mwanza sasa hivi mvua inanyesha, wenye uzoefu na mambo ya kifalme wanajua maana ya hizi ishara.
 
Kwa kweli Taifa hili tumtegemee Mungu anatusikiliza maombi yakiwa yanapigwa na mchungaji lusekelo mzee wa upako na shekhe wa Dsm mvu ikaanza kushuka palepale
 
Hahahahahahahahah. Kama ni kweli God is great, Bukoba imenyesha pia baadhi ya maeneo
 
VIONGOZI WETU wa dini wameomba kwa MWENYEZI MUNGU mbele ya CHIFU HANGAYA na hali ya hewa imebadilika 🙏

Yetzer ha-tov
 
Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea.

Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Landson Tz
Weka picha tuone hicho kiwinguzzzzzzz
 
Pongezi ziindee awamu ya 5 B
Chini ya kiongozi wake shupavu,jemedari na mcha Mungu
Mh Samia Suluhu Hassan Kwa kutuletea mvua
Kwa kweli anafanya mambo mazito!

By MATAGA pori from Lumumba corridor!
 
Back
Top Bottom